TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hapa nakukatalia katu!....ni kabila moja,....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nakukatalia katu!....ni kabila moja,....
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Kuna mikoa ya makabila mengi na mingine ni kama kabila moja, hivyo Kagera ni kwa Wahaya japo kuna Wahangaza, Moshi ni kwa Wachagga japo kuna Wapare, Mbeya Wanyakyusa japo kuna Wasafwa, Iringa Wahehe japo kuna Wabena.Hapa nakukatalia katu!
Chalamila akiongelewa vibaya huwa nachukia Sanaa.Babu @pascalmayalla nani kakuambia Kilimanjaro ni mkoa mlaini .... Nani kakudanganya?? ILA CHALAMILA ULEVI UNAMSUNBUA ANAROPOKA HOVYO. Aache pombe.
Kwa Mara ya kwanza nakubaliana na wewe gentleman 😊nadhani,
bila chuki binafsi, upendeleo, urafiki na mapenzi binafsi kwa viongozi hawa wa mikoa,
nadhani dar es salaam ni tulivu mno na yenye kupiga hatua zaidi za maendeleo kwa sasa, huenda kuliko kipindi kingine chochote kilichopita hususani katika maeneo ya usalama, miundombinu, elimu, maji, afya n.k
mnyonge mnyongeni,
ila haki na maua yake apewe bila chuki binafsi, licha ya kua ni binadamu mwenye mapungufu na madhaifu kwa maneno na matendo kama walivyo wengine 🐒
Hiki ndicho tunachokisema, kuna vitu kwenye katiba yetu ni mambo ya kikoloni na hayana maana yoyote kwetu ila yapo, tunapaswa kubadili katiba na kuachana nayo!.Katiba yetu ya nchi haielekezi hivyo. Kwa hiyo, neno 'walipaswa' halistahili kutumika kujenga hoja yako.
Wanabodi
Hii ni opinion article
Mikoa haifanani, na uwezo wa ma RC haulingani!.
Kuna mikoa migumu na mikoa milaini milaini. Mikoa migumu ni ile mikoa yenye majiji, DSM, Dodoma, Arusha, Mwanza, Mbeya, etc, na mikao milaini milaini milaini ni mikoa ambayo haina issues kabisa kama Kilimanjaro, Singida, Lindi, Mtwara etc.
Kwa vile wakuu wa mikoa hawafanani, na wanatofautiana uwezo, mikoa migumu, inawahitaji wakuu wa mikoa wenye uwezo fulani hivi, sio kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na akauwezea!.
Mfano mzuri wa kupima uwezo wa wakuu wa mikoa, ni uwezo wa kusimamia utoaji wa huduma muhimu kwa kufuata sera na miongozo, nikitolea mfano huduma za afya ya mama na mtoto, sera inasema huduma hizi ni bure.
Mkuu wa Mkoa wa DSM aliyepo sasa, hili ameshindwa kulisimamia, na matokeo yake amewasemea hovyo au kuwabwatukia wanawake na kina mama wa mkoa wa DSM RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
Huku Mkuu wa mkoa mwenzake wa Mkoa wa Njombe, sikiliza anachoeleza kuhusu issue hii Njombe: RC Mataka: sitaki kusikia mtu ameambiwa gloves hazipo kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure
Mifano hiyo miwili inathibitisha uwezo wa wakuu hawa.
Hivyo nashauri, DSM ni jiji gumu kuliko uwezo wa RC aliyepo!, DSM jiji linahitaji RC wa viwango vya juu zaidi ya huyu aliyepo, hivyo nashauri katika mabadiliko ya ma RC yatakayo fanyika, RC Antony Mtaka aletwe DSM awe RC DSM, huyu jamaa namfahamu sana toka akiwa RC Simiyu, ameibadili Simiyu, akawa RC Dodoma, akaibadili, sasa ni RC Njombe ameibadili, tukiletewa Mtaka DSM, atatusaidia sana!.
Kwa wasiomjua Mtaka na track records yake Simiyu, karibu pande hizi
View: https://youtu.be/bKobi1sGjQ4?si=wsAcsUHd0Hdy2q9j
View: https://youtu.be/-f10kAUh7ik?si=liAlRVmfHd-Z7mpS
View: https://youtu.be/Ed7c9aEw8-Y?si=iZli1TwkLnEabJpT
Kwa msiomjua Chala, alianza kushindwa wapi, karibu pande hizi This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?
Na mwisho, hii sio mara yangu ya kwanza kushauri mtu fulani awe na akawa, angalia hawa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam na Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Lakini kama bado Mtaka hajaikamilisha vision yake ya transformation ya Njombe, kweli sio vizuri kumhamisha mtu mwenye vision fulani kabla ya kuikamilisha vision yake, tumeona mifano kwa machinga complex ya Dar na lile soko la machinga Dodoma, then ni bora hata kuturudishia Konda Boy arudi Dar kuliko..!
Mnalionaje hili?.
Paskali.
Africa ita endelea kua katika kundi la developing countries na katu hatutofikia kwenye developed countriessiku nilipogundua hana akili ni pale aliposema alimuua kibaka na kuanza kusheherekea! serius tunakuaje na nchi kiongozi ana jisifu hadharani kuua?? huu ujinga waafrica utawaisha lini??? Kwa kauli yake hio, iki kimkuu wa mkoa kingekua kipo jela sasa iv... kwa hakika damu ya kijana yule haitomuacha kuishi kwa raha mustarehe maisha yake yote... ile damu ni lazima inapiga kelele kwenye maisha yake yote huyu
Kuutawa mkoa wa Kilimanjaro ni kazi rahisi, ni mkoa mlaini kama maini!, hauna changamoto zozote!.Eti kilimanjaro ni mkoa mlaini, tangu lini bwana Pasikali?
Na kwenye hii yuko sawa This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?.https://youtu.be/DU2KYclh1l8Sijaona ubaya wa Chalamila anywhere zaidi ya maneno ya ukweli mtupu Chalamila yupo sahihi.
Pasikali Pasikali Pasikali nimekuita mara tatu, kuutawala mkoa wa kilimanjaro sio rahisiKuutawa mkoa wa Kilimanjaro ni kazi rahisi, ni mkoa mlaini kama maini!, hauna changamoto zozote!.
P
Mkuu Ze Inishi, The Initiator huru , labda tuelimishane mkoa wa Kilimanjaro una issues gani, za kufanya kuutawala iwe ni changamoto?.Pasikali Pasikali Pasikali nimekuita mara tatu, kuutawala mkoa wa kilimanjaro sio rahisi
Hata mimi naona kama wewe, sioni kosa lolote kwa ChalamilaAfrica ita endelea kua katika kundi la developing countries na katu hatutofikia kwenye developed countries
Tunaitaji watu aina ya TRUMP ili tuendelee na hao watu ndio Kama THE LATE JPM, watu Kama CHALAMILA watu Kama makonda .
Sijaona ubaya wa chalamila anywhere zaidi ya maneno ya ukweli mtupu kusema watu wachangie huduma za afya in the hard way ( refer nenda kwa mmeo akussidie kujifungua) chalamila yupo sahihi.
Sahihi mkuu..labda chalamila kutumia lugha ngumu ndio tatizo?? .maana tumezoea kudanganywa na maneno matamu matamu.Hata mimi naona kama wewe, sioni kosa lolote kwa Chalamila
Nina watoto watano hakuna hata mmoja mke alijifungua bure akiwa hospitali tena mara zote ni hospitali za serikali
The late JPM pia kabendera kamtuumu kuvuta bange. Kama Bangi inaleta maamuzi na kutengeneza viongozi wakubwa wazuri wenye maamuzi Basi Bangi ni nzurii na ivutwe na viongozi wote ili tupate viongozi Bora.Na waliosoma naye wanasema alikuwa n mtukutu mno na mvuta bange
For sure, zile shughuli za kubwatuka bwatuka ilifaa angekuwa chamani.Mjomba wangubChalla ni ropo ropo huwa naamini hashirikishi ubongo na fikra zake akiwa anaongea....huyu anafaa propaganda za chama....lakini kuwe na mtu kumdhibiti DSM angetolewa ....yaani bado hajakomaa kwenye uongozi ...jazba na mihemko yake....
Sawa... Endelea kuchukia maana hamna namna atasafishika uropokaji wake. Mazuri yake yaseme wewe, hamna anayekuzuia ..Chalamila akiongelewa vibaya huwa nachukia Sanaa.
Mbona yupo vizuri TU. Na kwenye hizi thread msema mabaya yake na mazuri yake pia.