BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Ni Uefa. EPL ni DTV ndo alikoibukia Dr LeakyI see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.