ozark
JF-Expert Member
- Dec 31, 2021
- 626
- 1,592
Hii ni tofauti,kwa AFCON jukumu lao ni kurusha tu,inshu za camera,replay ni kazi ya CAF .Azam wanajitahidi kuonesha matangazo ya mpira lakini wanazingua kwenye baadhi ya mambo, wanapeleka kamera chache viwanjani, kama mtu unafuatilia matangazo ya mpira Mapinduzi Cup utakuwa umeshapata kero hii, kuna upande mpira ukiwa unachezwa unaona vivuli tu, hakuna raha ya kuangalia unatamani mpira uwe unachezwa upande mmoja ili uone.... wajirekebishe .
Kama ilivyo EPL,ambapo wengi huhisi ni dstv ndo wana camera nzuri,kumbe sio,ni kampuni separate imepewa iyo kazi