United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Kama sikosei Super sport ni channel za DSTV wenyewe kama ilivyo kwenye AZAM na channel za AZAM Sport afu wakati nazungumzia quality nazani wew hujanielewa namanisha kitu gani namanisha satellite Ndio maana nikakupa mfano wa TV ya 4K ukitumia kwenye Dish ya AZAM na DSTV quality utakazo pata ni tofauti wakati TV ni hiyo hiyo unaweza ukachuka video kwa Camera kubwa ila kama satellite zako ni low quality ni kazi bure kwa kukuongezea satellite nazo zinaquality kama zilivyo TV kuna satellite za quality hadi ya 4K na pia kitu mojawapo kinachochangia ubora wa picha kwenye kurusha matangazo ni satellite tena kwa kiwango kikubwa sana usizani hao wasafi kila siku wanatapata ni sababu ya camera sababu kubwa ni satelliteunachanganya vitu mkuu,
supersport (sio dstv) hizi games za epl, afcon, ucl hata wwe yeye huwa anapewa link ya kuchukulia hayo matangazo!
suala la camera sio lake, kwaio mambo ya quality za picha sio jukumu lake,..... ni kampuni tofauti inayorecord games!
ndio maana peter durry? alikua anasikika kwenye channel za english za epl, yule alikua mali ya epl sio ya supersport, same goes to michuano iliyochini ya uefa na caf...