Ni Uefa. EPL ni DTV ndo alikoibukia Dr LeakyI see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.
zimepewa na nani nazimepewa bure?Televisheni za Taifa zimepewa hiyo haki
Kwa kawaida Shirikisho la Soka la Ukanda husika linapewa maelekezo na Fifa kwenye mashidano ya Dunia na Bara kuzungumza na kampuni iliyopewa hàki ya matangazo kuzipa baadhi ya mechi bure au kwa malipo kiduchu TV za Taifa.zimepewa na nani nazimepewa bure?
Nimepekuwa na nikapata thread hii. Inaonyesha ITV nao walionyesha. DTV itakuwa walikuwa wanaonyesha baadhi ya mechi tu?. Ila sina uhakika na hapa nako kuna ubishi...Ni Uefa. EPL ni DTV ndo alikoibukia Dr Leaky
1997 nimemuangalia Sana Philips wa Sunderland alifanya balaa EPL kupitia ITVITV haijawahi kuonesha bure EPL ni Uefa. DTV then (sasa Chanel Ten) iliwahi kuonesha baadhi ya mechi
Mdororo wa uchumi ile 2008 ulilipitia kampuni mamaG Sports walikuwa miamba Sana.
Walitisha upande wa channel za michezo.
Bei rahisi huduma ya uhakika.
Sijui walikutwa na nini wakashindwa biashara Tanzania.
Yeah, kumbukumbu zilikata, DTV ilinikaa kichwani sababu ya Dr Leaky1997 nimemuangalia Sana Philips wa Sunderland alifanya balaa EPL kupitia ITV
economic depression ya 2008 iliwaondoa mzigoniDstv wanaanza kupitia kipindi walichopitia enzi za G Sport
Kwa hiyo TBC 1 itaonesha mechi zote live?Televisheni za Taifa zimepewa hiyo haki
Tbc wataonesha hiyo michuano, hivyo bado mtu wa DSTV ataweza kuona kupitia hiyo na channel zingine za FTAKuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo.View attachment 2861137
Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho.View attachment 2861138
Kongole sana kwa Azam TV hakika soka la Afrika mnalitendea haki.
Channel 10 walitisha sana tulikuwa tunaangalia UEFA champions league bwerere tena mechi zote, kuhusu ITV nakumbuka kombe la dunia 2002 yaliyofata sikumbuki sana maana vibe la vibanda umiza lilikuja kuangalia mpira sebuleni ikawa michoshoITV haijawahi kuonesha bure EPL ni Uefa. DTV then (sasa Chanel Ten) iliwahi kuonesha baadhi ya mechi
Punguza kuishi kwa kukaririSidhani kama ni kweli DSTV wameandika hayo, hiyo barua imekaa kipropaganda kwa 100%.
Katika hali ya kawaida, kituo cha Tv kikosa haki ya kurusha matangazo fulani huishia kukaa kimya, wateja wenyeji watachambua mchele na kujiongeza.
ITV haijawahi kuonesha bure EPL ni Uefa. DTV then (sasa Chanel Ten) iliwahi kuonesha baadhi ya mechi
Wewe utakuwa unasema FA CupI see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.
DSTV sikuhizi wanakwama sana hata kwenye kufuta Baadhi ya chanels zao
Kama hana haki hiyo, huwa hizo chaneli zinafungwa kwa muda wa mechi zinapochezwa.DStv hawatarusha official ila channel nyingi zilizomo ndani ya DStv zitarusha