BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Mkuu utakuwa unatumia tv ya star x LED na king'amuzi cha startimes cha antena kile kisicho na port ya hdmiYaan TBC na quality Ile kama tv za mbao miaka ya 80 ' waachane kabisa na afcon wao waonyeshe ziara za mama tu Mpira chakwanza ni quality HD ya maana. Kama ni kweli DStv kazingua asee
😄Startimes wanaonyesha mechi zote
Siyo kwelisio kwamba DSTV ana mkataba wa kuonyesha EPL nchi za kusini mwa jangwa la Sahara?
Uko sahihi .I see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.
Dtv alikuwa kidedea Sana kwenye michezo....itv walijaribu Sana kushindana na Dtv kuna siku waligombania pambano la mike Tyson ...itv wakapata kashfa walionesha recorded na sio live😀Ni Uefa. EPL ni DTV ndo alikoibukia Dr Leaky
Nani anakudanganya Azam yupo Tanzania,Kenya, Uganda,Rwanda,malawi na Zimbabwe.Leseni ya Azam ni kurusha Tanzania tu
Umesoma tangazo la Azam lakini?Nani anakudanganya Azam yupo Tanzania,Kenya, Uganda,Rwanda,malawi na Zimbabwe.
Kwa hiyo mpaka miaka 10 ijayo atakuwa karibu nchi nyingi za africa yupo nimesahau na nchi ya zanzibar.
ukishaweka nchi ya Zanzibar basi Tanzania inakuwa haina maana tena bali TanganyikaNani anakudanganya Azam yupo Tanzania,Kenya, Uganda,Rwanda,malawi na Zimbabwe.
Kwa hiyo mpaka miaka 10 ijayo atakuwa karibu nchi nyingi za africa yupo nimesahau na nchi ya zanzibar.
TBC wapumbavu sana Ilikuwa ikifika muda wanakata mechi wanaanza kuonyesha juhudi za awamu ya sita.hao sio wakuwaamini kuna kipindi cha nyuma walitangaza watarusha game zote za world cup mubashara lakini kichotokea ni aibu tupu!
Wameona imekuwa bweleleDStv wameanza kupoteza umaarufu wake waliojizolea kipindi cha nyuma hasa hapa tanzania baada ya AZAM TV kufanya mapinduzi makubwa, AZAM TV nikama wanautaka ufalme wa matangazo ya televisheni kwa sasa hapa bongo,
Nadhani ni nchi zote zinazotumia kingereza ndio hizo za kusini mwa jangwa la Sahara. Canal wao wanakataba wa kuonyesha EPL kwenye nchi zote zinazotumia kifaransasio kwamba DSTV ana mkataba wa kuonyesha EPL nchi za kusini mwa jangwa la Sahara?
Na hii ndio bongo, uswahili mwingiAzam TV hawaaminiki mara kadhaa huahidi kuonesha mechi zote kwenye michuono fulani halafu hawafanyi hiyo.
Si ajabu wakaonesha za Stars tu au Stars akitoka hawaoneshi tena.
Hawa ni takataka huwa hawaeleweki wanaweza hata wakaonyesha halftime ya mechi wakaachaHata TBC wamepewa hàki za mechi zote
Dstv huwa wanataka monopoly...Yaan TBC na quality Ile kama tv za mbao miaka ya 80 ' waachane kabisa na afcon wao waonyeshe ziara za mama tu Mpira chakwanza ni quality HD ya maana. Kama ni kweli DStv kazingua asee
Hao hawaaminiki. Wanaweza kukatisha mechi ili waoneshe bunge au ziara ya kiongozi.Kwa hiyo TBC 1 itaonesha mechi zote live?
Au ndio maana ya Free to Air?
Hapo chawa watamsifia Mama kwa kurusha matangazo ya afcon bure 🤣🤣
Mwaka 1997 tulikuwa tukicheki EPL kupitia DTVITV haijawahi kuonesha bure EPL ni Uefa. DTV then (sasa Chanel Ten) iliwahi kuonesha baadhi ya mechi
Kwa TBC ninayoifahamu, nipo nimekaa paleHata TBC wamepewa hàki za mechi zote
UEFA ilikuwa ikirushwa ITV baadae wakaja channel ten.I see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.
Azam wanajitahidi kuonesha matangazo ya mpira lakini wanazingua kwenye baadhi ya mambo, wanapeleka kamera chache viwanjani, kama mtu unafuatilia matangazo ya mpira Mapinduzi Cup utakuwa umeshapata kero hii, kuna upande mpira ukiwa unachezwa unaona vivuli tu, hakuna raha ya kuangalia unatamani mpira uwe unachezwa upande mmoja ili uone.... wajirekebishe .Kuna barua mtandaoni inatembea ya kampuni ya Multichoice (DStv) kuhusu kutokuonyesha matangazo ya michuano ya Afcon mwaka huu ambayo itafanyika huko Ivory Coast baada ya kukosa haki za matangazo.View attachment 2861137
Kwa upande wa pili, AzamTv wametangaza kuonyesha mubashara mechi zote za Afcon yaani mwanzo mwisho.View attachment 2861138
Kongole sana kwa Azam TV hakika soka la Afrika mnalitendea haki.