Hii ni tofauti,kwa AFCON jukumu lao ni kurusha tu,inshu za camera,replay ni kazi ya CAF .Azam wanajitahidi kuonesha matangazo ya mpira lakini wanazingua kwenye baadhi ya mambo, wanapeleka kamera chache viwanjani, kama mtu unafuatilia matangazo ya mpira Mapinduzi Cup utakuwa umeshapata kero hii, kuna upande mpira ukiwa unachezwa unaona vivuli tu, hakuna raha ya kuangalia unatamani mpira uwe unachezwa upande mmoja ili uone.... wajirekebishe .
🤣Hao hawaaminiki. Wanaweza kukatisha mechi ili waoneshe bunge au ziara ya kiongozi.
Kama hana haki hiyo, huwa hizo chaneli zinafungwa kwa muda wa mechi zinapochezwa.
Kumbukumbu yako ni nzuri. Umenifanya nikumbuke sasa. Na hata hii ya Mengi kugombana na wahindi nimeikumbuka. Ni kweli wengi hawajui na wanajitia ujuaji. Halafu kuna waliokuja kuzaliwa baadae nao wanaingia kwenye mkondo wa ubishani.Uko sahihi .
Dstv walionesha epl yote bure...mechi zote.. halafu itv na wao wakapigania wakaja onesha mechi zote za EPL buree kabisa.
Wanaobisha ni wale miaka hiyo hawakuwa na TV...
Wengi walianza nunua TV baada ya itv kuonesha mipira...wakati TV ya kwanza kuonesha afcon nchini ni CTN... January 1994 Rashid Yekini akawa mfungaji Bora hapo itv haipo... ITV ikaibuka June 1994 wakalazimisha Sana waoneshe world cup hadi Mengi akaja kudai wahindi wamemtishia maisha ...akimaanisha CTN na Dtv ..😀those were the days
Usiongee kaka.G Sports walikuwa miamba Sana.
Walitisha upande wa channel za michezo.
Bei rahisi huduma ya uhakika.
Sijui walikutwa na nini wakashindwa biashara Tanzania.
Sisi wa star times je tutaona hii michuano. Maana sijalipia king'amuzi nasubiri Hadi siku zikaribie ndio nilipie.
Mkuu ya kweli haya maana naona wapo kimya tu hata hawatangazi Kama wataonyesha.Startimes wanaonyesha mechi zote
Ooh Basi sawa !!!Utaona kupitia TBC na TVE
Ndio umeandika nini?Siyo DSTV , ni Supersport Channel.
Azam hajapewa haki, ananunua kwa aliyepewa haki.
Alichokosa Supersport siyo alichopewa AZAM .
Aliyepata rights atakuwa amemzidi Supersport dau.
Upo sahihi mkuu.I see! Ina maana nimechanganya madawa? Nakumbuka miaka hiyo nilikuwa naangalia sana kina Michael Owen na enzi za kocha Wenger wakati Arsenal inacheza kama mashine. Ilikuwa ni DTV kumbe! Labda kumbukumbu yangu ni mbaya, lakini nakumbuka kuangalia kwenye channel ya ITV, mashindano yote, i.e. PL na UEFA.
Ni rasmi Sasa DSTV wako Cote d'Ivoire kuanzia kesho.Na hili mkalitizame
View attachment 2869101
unachanganya vitu mkuu,AZAM hapana aise kwa hizo sinema zao za makambako na mpwapwa uje ulinganishe Na DSTV yenye game za EPL na WWE ata wasipo onesha hiyo michuano bado DSTV yupo mbali sana kwa ubora wa picha na Uzuri wa Vipindi chukua LED TV connect na AZAM afu Chukua LED TV connect na DSTV quality ya picha utakayo pata kwa AZAM na DSTV ni vitu viwili tofauti wakati TV ni ile ile au Chukua 4K Tv connect na DSTV uweone matusi ya DSTV kwenye quality kwa Africa hii Canal sport na DSTV ndio kampuni bora za kurusha matangazo ya Television kwenye kila kitu ni vile waafrica tumezoea kutazama mavitu ya ajabu
EPL au UEFA wanarekodi kwa kutumia vifaa vya kisasa kwahiyo picha inakuwa na quality nzuri zaidi. Sasa linakuja swala la haya makampuni kama DSTV na AZAM, yeye kama ana mitambo mibovu lazima picha ya 1080p au zaidi, kwako itakuja kama picha za CAM.unachanganya vitu mkuu,
supersport (sio dstv) hizi games za epl, afcon, ucl hata wwe yeye huwa anapewa link ya kuchukulia hayo matangazo!
suala la camera sio lake, kwaio mambo ya quality za picha sio jukumu lake,..... ni kampuni tofauti inayorecord games!
ndio maana peter durry? alikua anasikika kwenye channel za english za epl, yule alikua mali ya epl sio ya supersport, same goes to michuano iliyochini ya uefa na caf...
ulishawahi kuangalia mechi za EPL kwenye channel za AZAMEPL au UEFA wanarekodi kwa kutumia vifaa vya kisasa kwahiyo picha inakuwa na quality nzuri zaidi. Sasa linakuja swala la haya makampuni kama DSTV na AZAM, yeye kama ana mitambo mibovu lazima picha ya 1080p au zaidi, kwako itakuja kama picha za CAM.
Hapana.ulishawahi kuangalia mechi za EPL kwenye channel za AZAM