DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Hawa jamaa hawana ata customer loyalty....mtu nimekuwa mteja wao kwa miaka zaidi ya 15 bila disconnection ata kusema kuwa huyu jamaa tumpe premium for lifetime hamna. Waangalie namna gani wanaweza kuendelea kutushawiahi kulipia dstv.
 
😀😀😀
 
Arsenoooooo...we are the gunnerssssss
Na leo jogooo anawakojolea
 
Last week wamenipigia simu wanauliza vipi mbona hutazami runinga? Nikawauliza umejuaje? Wakasema vipimo huku vinaonesha, nikasema kwani lazima nitazame runinga yako hamna zingine? Wakasema basi kama una changamoto tuambie tuzitatue, nikasema huku ninakopata huduma ni mtelezo hamna shida, wakasema kwanini hutazami DSTV? Nikawaambia mmetunyonya vya kutosha nikakata simu
 
Maskini bhana yaan kupanda elf 5 unahama kampuni? unauwezo wa kulipa 55 ila 60 huwezi kulipa et imepanda 5k unaona umeibiwa saana?

Hizi mentality ndio maana kuna watu wanalalamikia mwendokasi..

Hili hili jitu utalikuta Bar linaagiza pombe na kutoa ofa kwa ma barmaid.
 
Hawa jamaa hawana ata customer loyalty....mtu nimekuwa mteja wao kwa miaka zaidi ya 15 bila disconnection ata kusema kuwa huyu jamaa tumpe premium for lifetime hamna. Waangalie namna gani wanaweza kuendelea kutushawiahi kulipia dstv.
Hilo ndilo lilinifanya kuachana nao

Ova
 
Hilo la kupunguza vifurushi haliwezekani mkuu kumbuka leseni ya kuonyesha EPL wanalipia zaidi ya USD Mil 900$ kwa mwaka sasa unadhani hizo hela za kulipa watatoa wapi?...

Tena unaambiwa Premier League Production wameipunguzia sana DSTV gharama za Kurusha ligi yao wangeweka bei sawa na vituo vingine huko Duniani Kama Sky Sports, Bein Sports Canal Sports nk labda ni asilimia 1% tu ya waafrika wangemudu kulipia DSTV
 
Huyo Magu alikopa kiasi gani kwa muda gani? Baada ya kunijibu hilo uniambie pia Mama yako kakopa kiasi gani kwa muda gani?
Una chuki za kichawi na kimasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…