DSTV yalamba hasara ya bilioni 122, gharama za vifurushi zawakimbizia wateja 486,000

Brother Kwa hiyo unachopenda wewe unataka dunia nzima tupende?
 
Why canal a afford kulipia bei kubwa alafu package yake ya epl iwe cheaper?
 
Ndio ni yule yule tu kwenye avatar picha yako lakini ile ya mwanzo tuliizoea sana. Ja rule!
 
Kwa kweli DSTV imebakia ya wamama kuangalja Huba tu. AZAM inaoneyesha michezo mingi. Na hivi hawaoneshi AFCON wanaendelea kujipoteza.
 
Hata Azam litawakuta jambo sio muda
Decoder zote wanatakiwa kuendana na technology changes,sasa hivi internet inachukua kasi mno wasipoendana na streaming plus kupunguza bei ya visimbuzi watajimbiwa wengi sn,Azam kinachombeba ni local channels
 
Shida hapa kati walipandisha vifurushi.... Alafu ukicheza mtu anapati huduma nzuri tu Azam


Sikujua kuwa GoTV iko chini ya DSTV
Wako pamoja, wote wako chini ya multichoice.. GOtv alikuja kuchukua wateja wasioweza kulipia vifurushi vya bei ghali za DStv kwani ana vifurushi vya bei nafuu lakini pia alikuwa anatumia mfumo wa antenna badala ya dish kama Azam na huduma yake mpya ya ving'amuzi vya antenna..
 
Star times ndio analijulia soko la Tanzania na Afrika vizuri
 
DStv wamefunga huduma nchini Malawi.

Streaming zinaimaliza DStv kimya kimya, jumlisha uwepo wa makampuni mengine kama AzamTv

Ila DStv bado inabaki kuwa na utamu wake!!
Kweli kabisa,ila kuna kitu kimoja hujakijua
Ndio kinamaliza Dstv
Na ukikojua Dstv utaitupa
 
Tafuteni pesa mazee acheni kulalama, huwezi kujiliwaza eti kuhama DSTV kwenda Azam, pamoja na changamoto zote zinazosemwa DSTV ni next level. Pesa yako
Dstv kwa wengine sisi sio next level
Teknolojia imeenda mbele sana
Bila Dstv kuna maisha tena zaidi
 
Kila nabii.... Ana zama zake!.... Zama za Dstv... Ndio zimeelekea ukingoni... Huu ndio ukweli
 
Mfano pia wengine wanatumia canal
Hawawezi kukumbuka Dstv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…