Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

Dua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu

Ova
Ujinga wetu unaanzia hapo hapo pa unafiki mwingi katika kila jambo.

Hili la sala kwenye shughuli za serikali ni moja ya ujinga wetu huo.
Mtu anasali wakati wowote, popote anapojisikia kufanya hivyo. Haya maonyesho ya kwenye halaiki ni ujinga mtupu.
 
Ni vingapi vimeombewa dua na sasa vipo juu ya mawe dhoofu kabisa...

Mungu huwa hafungamani na walio wachafu, wala rushwa, wanaotesa watu wake n.k
Akili zao zinawatuma kudhani wanaweza hata kumhadaa Mungu, kama wanavyowalaghai raia wao!
 
Yah right. Bado nakumbuka ule uzi wako wa kinafiki kuhusu JPM. Nitautafuta nikutag, Mnafiki mkubwa wewe.
Wewe hata sikuelewi unaandika nini, naona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, mara hiki mara kile. Papai nini?
 
Wewe hata sikuelewi unaandika nini, naona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango, mara hiki mara kile. Papai nini?
Black Widow........ Ushabiki fake wa JPM. Usijifanye huelewi. Unaelewa sana tu.
 
Tizama ndugu usilaumu mwombeaji dua hakutaja utiaji saini wa bandari kwa sababu alikuwa hajui kama kuna shughuli hiyo. Kadi aliyopelekewa Padri Kitima haikueleza hafla aliyoalikwa ni nini. Ushabiki weka pembeni ukweli umejipambanua
 
Back
Top Bottom