Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

Hivyo ni vijembe, amewalaghai viongozi wa TEC halafu anamtuma huyo Zezeta awapige Vijembe.
aisee si poa kabisa mrisho mpoto anawaambia watu na phd zao watulie awape shule kuhusu uwekezaji wa dpw bandarini, nilishangaa na kushangaa kwa kwel
 
Unafikiri pale waliitwa kulikuwa na nini kinaendelea? Wakae wajambe jambe tu?
Propaganda za dini tu. Nchi haiendeshwi kwa maombi. Hayo yote yaliyokuwa pale ni mafisadi tu. Wanaojifanya wacha Mungu kutuletea Maoadri na Mashehe ili waonekane wasafi. Bure kabisa.
 
Dua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu

Ova
Ukweli mchungu.

Ni unafiki haswaaa.
 
Propaganda za dini tu. Nchi haiendeshwi kwa maombi. Hayo yote yaliyokuwa pale ni mafisadi tu. Wanaojifanya wacha Mungu kutuletea Maoadri na Mashehe ili waonekane wasafi. Bure kabisa.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.

Ndugu yangu hawa maaskofu wameumizwa na bandar kuboreshwa mifumo yake.

EWao ndiyo wanufaika wa kwanza kwa mifumo mibovu pale bandarini, na zaidi wametumia joho la dini kufanya ufisadi mkubwa sana pale bandarini kwa miaka mingi sana.

Ushahidi wa kwanza, unaona sasa hivi vitu vya "promosheni" vilivyokuwa vinasambazwa nchi nzima kwa bei za kutupa?
Andiko lako hili linathibitisha kuwa CCM imeshindwa kabisa kwa asilimia 100 kuongoza nchi.

Mifumo mibovu wakati wao wapo wapi!!???

Ufisadi unaofanyika hao CCM na serikali yake pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi!!??
 
Nikupe "Satanic Verses" usome!!??
Zaidi ya hii:

16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.
 
Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.

Ndugu yangu hawa maaskofu wameumizwa na bandar kuboreshwa mifumo yake.

EWao ndiyo wanufaika wa kwanza kwa mifumo mibovu pale bandarini, na zaidi wametumia joho la dini kufanya ufisadi mkubwa sana pale bandarini kwa miaka mingi sana.

Ushahidi wa kwanza, unaona sasa hivi vitu vya "promosheni" vilivyokuwa vinasambazwa nchi nzima kwa bei za kutupa?
Umri wako hauendani na tabia yako, umeweka dini mbele kuliko kitu chochote. Jitahidi kuheshimu Imani za wengine.
 
Zaidi ya hii:

16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.
Hivi unaweza kukubaki mjukuu wako wa miaka 8 kuolewa!!??
 
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.

Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.

Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.

Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.

Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?

Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:

View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D

Masheikh wanajua nini,elimu dunia zero.Pelekeni Masheikh shule haya mambo ya kuchukua la saba B yamepitwa na wakati.
 
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.

Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.

Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.

Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.

Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?

Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:

View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D

Nafuu hakuombea bandari, Mungu wetu si wa udanganyifu nyie muombeni Allah...
 
Ni vingapi vimeombewa dua na sasa vipo juu ya mawe dhoofu kabisa...

Mungu huwa hafungamani na walio wachafu, wala rushwa, wanaotesa watu wake n.k
 
Back
Top Bottom