mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Endelea kuabudu majini na uyatume unavyotakaBasi endelea kuabudu sanamu ni hiyari yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuabudu majini na uyatume unavyotakaBasi endelea kuabudu sanamu ni hiyari yako
Maaskofu waliku...a?Maaskofu wameonesha ngozi yao kamili, chui ndani ya ngozi ya kondoo.
Wewe ni Mdini sana.That's corporate dude and then corporate personels
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Ndo mlivyo sishangai,wakati benki zinaanzisha islamic window kuna kiongozi wa dini alidai huo ni udini,udini wenu nyinyi huwa hamuuoni japo jicho lenu kwa mtu halioni bali dini ya mtuWewe ni Mdini sana.
Kwa hiyo waislam walikuwa wengi hapoWameshindwa hata kutaja neno "bandari"?
Wale ni zaidi ya nyoka.
Na jana imewauma sana, huku Kikwete, Kula Mama Samia, pale Sultan, kule Mbarawa.
Khatr kubwa.
Teh teh kwani hakuna wanaokujaga kueneza dini kutoka Iran Pakistan,kumbe nao wanafanya biadhara hizo teh tehKAMA WAMEUMIA WAHAMIE VATICAN,SASA WAO KWA AKILI YAO WAKITAKA MIKATABA YA KUENDELEZA BANDARI TUINGIE NA NANI,TUINGIE NA PAPA??KWANZA NANI KAWAAMBIA ITALY KUNA HELA??
ZAIDI ZAIDI KULE NI WAUZA UNGA TUH KULE SICILY,TUWAPE WAO BANDARI KISHA WAIGEUZE LANGO LA KUPITISHA MISALABA NA DRUGS??NO WAY ...
Haya dada yangu,ila mbona mufti anamshukurugi sana jpm kwa kuusimamia ule msikiti wa bakwata mpaka kufika hapoSiongelei uwingi au uchache.
Rusha roho.
....mmmmh mbona unamfokea au kwa sababu ni Bi Dada? Acha hizo, Mkuu.Always when you speak,i pay my whole attention to listen and learn,
Thats just because wewe ni mtu usiependa KUSEMA UONGO NA DHULMA,NA DAWA YA DHULMA NI KUISEMA NA KUIKATAA WAZI WAZI KAMA HIVI,NI UKWELI ULIO WAZI KABISA KUWA TEC WAMEKUWA USELESS EATERS OF THIS COUNTRY FOR SOME MANY MANY YEARS,KWANGU MIMI NAWAONA KAMA NI WAKOLONI WEUSI TUH,TUNAISHI NAO KWA KUWA HAKUNA JINSI.
ENDELEA KUPIGA SPANA.
Wote ULE ni Kama uchawi Maana Mungu hayupo PaleDua yoyote kwenye shuguli za kuserikali ni unafki tu iwe ya kikristo au kislam. Hata wale wanao hapa huku wameshikilia biblia na wengine quran, ni unafki tu
Ova
Maaskofu wameonesha ngozi yao kamili, chui ndani ya ngozi ya kondoo.
Kwa mwandiko huo, sifahamu kama utaelewa tofauti ya "kueneza" na "kulingania".Teh teh kwani hakuna wanaokujaga kueneza dini kutoka Iran Pakistan,kumbe nao wanafanya biadhara hizo teh teh
Hii dunia mkuu ishi ujuavyo tu
Ova
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Hapo umekiri kuwa maaskofu wameleta unafiki, walichombezwa makusudi wakauvagaa.Nilidhani labda umeona sheikh kaleta unafiki ndio ukaleta uzi ningeshangaa imekuaje uanze kuichanachana dini yako pendwa. Kwani askofu ni lazima atoke tec? Maaskofu wako wengi, kuna wa cptc na kkkt wangepewa nafasi wombe wangetaja bandari katika sala zao na dhamiri zao zisingewahukumu mungu wao angewasikiliza