Dua za kuombea utiaji saini mkataba wa Bandari zina unafiki mkubwa

Muendelezo wa "Double standards", chuki, wivu na husda za wake na waume wa wavaa kobazi hizi!
Ipo siku mpaka kunya mtasema nyie mnakunya vizuri kuliko wakristo.

HELL YEAH,KWANI UONGO??

SISI TUNAKUNYA VIZURI KULIKO NYINYI,BECAUSE SISI TUKIMALIZA HAJA ZETU TUNACHUKUA MAJI NA KUTAWAZA,MOST OF YOU MKIMALIZA MNACHUKUA MAKARATASI KUCHAMBA,SASA KWANINI MSINUKE MAVI??NA NANI BAINA YA HAO WAWILI ANAKUNYA VIZURI SASA.
 
Mnafiki MKUBWA na mshirikina ni wewe unayetaka kuelekeza mtu aliyeamua kuongea na Muumba eti aombee nini na namna gani.
Ni unafiki MKUBWA ndiyo kuelekeza watumishi wa Mungu kufanya ushirikina!!
KUNA USHIRIKINA MKUBWA ZAIDI YA KUCHUKUA SANAMU NA KULIWEKA MBELE YAKO NA KULIABUDU KWA KULIITA MUNGU??

AU ULE WA KUSEMA MAMA WA MUNGU AKUOMBEE??YAANI UNASEMA MUNGU ANA MAMA??BASI HATA KUTUMIA COMMON SENSE TUH??
 
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.

Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.

Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.

Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.

Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?

Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:

View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D

Kwanini mliwaita? ulitaka waombee wizi wa mali za watanzania?
 
Kwanza nawe ni mnafiki
 
Uteuzi wa Makonda=Fupa

A Sunk Cost Fallacy.

Utiaji saini Mkataba=Uovu

A Sunk Cost Fallacy.

Saa zingine Mwenyezi mungu huwa ana achia Uovu ufanyike, kwa baraka zake, ili Uovu huu Umulikwe.

Dua au isiwe Dua, Watanganyika tunauona uovu unaofanyika.

Bandari imegawiwa, nachelea kusema, sasa ndio rasmi, Nchi inagawanyika.
 
KUNA USHIRIKINA MKUBWA ZAIDI YA KUCHUKUA SANAMU NA KULIWEKA MBELE YAKO NA KULIABUDU KWA KULIITA MUNGU??

AU ULE WA KUSEMA MAMA WA MUNGU AKUOMBEE??YAANI UNASEMA MUNGU ANA MAMA??BASI HATA KUTUMIA COMMON SENSE TUH??
Kuna common sense kweli kweli poor believer!
Huelewi chochote kuhusu imani we kilaza wa majini
 
Back
Top Bottom