Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza. Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Safi sana Bandari yetu wacha wawekeze tupate pesa.Wameshindwa hata kutaja neno "bandari"?
Wale ni zaidi ya nyoka.
Na jana imewauma sana, huku Kikwete, Kula Mama Samia, pale Sultan, kule Mbarawa.
Khatr kubwa.
Mla ubwabwaMrisho Mpoto ni Zezeta sana
Hana Hekima na Busara.Mla ubwabwa
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza. Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Na kukuza dini pia.DP World siyo kuendeleza bandari tu, ni kichocheo cha ustawi wa uchumi wa Tanzania - Sultan CEO wa DP World.
Hivi unaamini katika dua?huyo Mungu mnayemuomba dua mnamjua?Maaskofu wameonesha ngozi yao kamili, chui ndani ya ngozi ya kondoo.
Hamna kitu kama hicho ni upotoshaji tu mtu yupo kwenye investment na dini wapi na wapi tatizo watu mkiona muarabu ndio mnaona ni uislamu , waswahili wanasema sio kila mzungu padriNa kukuza dini pia.
Hilo ni wazi kabisa, msukule wao Slaa kishalitangaza.
Ndugu yangu hawa maaskofu wameumizwa na bandar kuboreshwa mifumo yake.
EWao ndiyo wanufaika wa kwanza kwa mifumo mibovu pale bandarini, na zaidi wametumia joho la dini kufanya ufisadi mkubwa sana pale bandarini kwa miaka mingi sana.
Ushahidi wa kwanza, unaona sasa hivi vitu vya "promosheni" vilivyokuwa vinasambazwa nchi nzima kwa bei za kutupa?
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D
Usikurupuke, msikilize askofu msikilize na Sheikh, utauona unafik uko wapi.Mnafiki MKUBWA na mshirikina ni wewe unayetaka kuelekeza mtu aliyeamua kuongea na Muumba eti aombee nini na namna gani.
Ni unafiki MKUBWA ndiyo kuelekeza watumishi wa Mungu kufanya ushirikina!!
Wameshindwa hata kutaja neno "bandari"?