Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
"Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta.
Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji ziwani na kupeleka mikoa mingine?,"-Simon Mkondya, Mkurugenzi Vanilla LTD.
Je, kama wana JF unadhani hili suala linawezekana?
Je, litawezekana tukizingatia vitu gani au kupata kitu gani?
Source: EATV