Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

Sasa kwa nini tusibadishane nao kwa kuingia mikataba yenye maslahi Kwa pande zote.
Maana wao wanashida ya maji na sisi tunashida ya mafuta.
Wao walete BOMBA ya mafuta na sisi tuwafungie mpira wa maji kutoka chato
Yanatakiwa yaanzue Singida kabla ya kwenda Dubai
 
Hata hayo ya Victoria nafkiri ni ujasiri wa magu tuuu..kuna mikataba ya kipumbavu sana pale wa Misri wanayo kuhusu hayo maji sidhani kama tukichukua Lita nyingi zaidi kuondoa tatizo la maji hapa nyumbani kama watafurahia
 
1667974590213.png

Umekusudia Bei ya Maji gani hapa Dubai
 
Maji ya bahari hapo yapelekwe morogoro na dodoma
 
Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu

Dar si mna bahari??kwanin msitumie hayo
 
Back
Top Bottom