Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nitakuwa mtazamajiTungoje ligi ianze
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuwa mtazamajiTungoje ligi ianze
Ova
Aluminium,ila kuna mabomba yapo arusha toka nikiwa mdogo nimeyakuta hayajawahi kubadilishwaplastic chuma kinazalisha rust / calcium baada ya mda fulani
kubadlishwq yanaweza yasibadilishwe ila je yana usalama kwa afya ya mtumiaji wa ayo maji maana me fundi maji naelwa nini kinatokeaga kwenye pipelines za majiAluminium,ila kuna mabomba yapo arusha toka nikiwa mdogo nimeyakuta hayajawahi kubadilishwa
toa neno lako tafadhal mkuuNitakuwa mtazamaji
Mkuu nawasubiria majiniazi waseme niwaungetoa neno lako tafadhal mkuu
Utoe bomba toka Ziwa Victoria mpaka Mbeya na sio kutoka Ziwa Nyasa?"Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta.View attachment 2410799
kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji ziwani na kupeleka mikoa mingine?,"-Simon Mkondya, Mkurugenzi Vanilla LTD.
je kama wana Jf unadhani hili swala linawezekana ?
je litawezekana tukizingatia vitu gani au kupata kitu gani ?
Source : EATV
Litakua la buku jeroH
Hilo bomba litahujumiwa njiani kwa kutobolewa kunywesha mifugo maji
Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tuUtoe bomba toka Ziwa Victoria mpaka Mbeya na sio kutoka Ziwa Nyasa?
Taarifa! Maji ya ziwa Victoria yalishafika Tabora tangu mwaka 2021Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu
tunaweza kutoa ziwa nyassa au ziwa Victoria hiyo nadhani ni hoja ya fast fast tu hana maana hiyoUtoe bomba toka Ziwa Victoria mpaka Mbeya na sio kutoka Ziwa Nyasa?
shukrani mkuu vipi dodoma kule na singida yashafika au ndo tunatafuta mfadhiliTaarifa! Maji ya ziwa Victoria yalishafika Tabora tangu mwaka 2021
🤔🤔🤔 ndani ya miaka miwili ni kidogo sana sema ndani ya miaka 5 au 7 ijayoInawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu
sawa mkuuMkuu nawasubiria majiniazi waseme niwaunge
🤔🤔🤔🤔😁so what?!....kama nawaona vile machawa wa utawala wa mama samia wanavyojaribu kupita na upepo wa uhaba wa maji ktk baadhi ya maeneo ya dar.
Hoja yake ni ipi hasa? Kwani So Kuna miradi ya kutoa maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine Kama Dodoma au? Tabora tayari."Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta.View attachment 2410799
Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji ziwani na kupeleka mikoa mingine?,"-Simon Mkondya, Mkurugenzi Vanilla LTD.
Je kama wana JF unadhani hili swala linawezekana?
Je litawezekana tukizingatia vitu gani au kupata kitu gani?
Source: EATV
Sisi wenyewe maji shidaSasa kwa nini tusibadishane nao kwa kuingia mikataba yenye maslahi Kwa pande zote.
Maana wao wanashida ya maji na sisi tunashida ya mafuta.
Wao walete BOMBA ya mafuta na sisi tuwafungie mpira wa maji kutoka chato
We fundi maji au fundi bomba?kubadlishwq yanaweza yasibadilishwe ila je yana usalama kwa afya ya mtumiaji wa ayo maji maana me fundi maji naelwa nini kinatokeaga kwenye pipelines za maji
vyote vyote naya treat maji pia natengeneza system za water flowsWe fundi maji au fundi bomba?