Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

Aluminium,ila kuna mabomba yapo arusha toka nikiwa mdogo nimeyakuta hayajawahi kubadilishwa
kubadlishwq yanaweza yasibadilishwe ila je yana usalama kwa afya ya mtumiaji wa ayo maji maana me fundi maji naelwa nini kinatokeaga kwenye pipelines za maji
 
so what?!....kama nawaona vile machawa wa utawala wa mama samia wanavyojaribu kupita na upepo wa uhaba wa maji ktk baadhi ya maeneo ya dar.
 
Utoe bomba toka Ziwa Victoria mpaka Mbeya na sio kutoka Ziwa Nyasa?
 
Utoe bomba toka Ziwa Victoria mpaka Mbeya na sio kutoka Ziwa Nyasa?
Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu
 
Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu
Taarifa! Maji ya ziwa Victoria yalishafika Tabora tangu mwaka 2021
 
Inawezekana tena sana maana mpaka sasa maji ya Victoria yanatumika Shinyanga hivyo uwezekano wa kuyafikisha Tabora na Singida,Dodoma, Morogoro Daressalaam ndani ya miaka miwili tu
πŸ€”πŸ€”πŸ€” ndani ya miaka miwili ni kidogo sana sema ndani ya miaka 5 au 7 ijayo
 
so what?!....kama nawaona vile machawa wa utawala wa mama samia wanavyojaribu kupita na upepo wa uhaba wa maji ktk baadhi ya maeneo ya dar.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ˜
 
Hoja yake ni ipi hasa? Kwani So Kuna miradi ya kutoa maji ziwa Victoria kupeleka mikoa mingine Kama Dodoma au? Tabora tayari.
 
Yaan utoe maji Victoria kupeleka mbeya ,,,, wakati wapo karibu na ziwa nyasa ,na ziwa rukwa ...kwanza mwanza yenyewe au Mara maji hayatoshi ....hamna usambazaji mkubwa uje upelekee dodoma....
Dodoma acha wapambane na maji Yao ya chumvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…