Dubai: Rais Samia ashuhudia utiaji saini wa Mikataba ya Uwekezaji ya thamani ya Trilioni 17

Hakuna anayeweza kuiuza nchi huru kwa viwango vyote vya UN. Hizi ni inferiority complex zinasumbua akili ndogo tuliyonayo.

Nchi isipigwe mnada ikiwa chini ya JPM aliyekopa pesa nyingi kuliko marais wote wanne waliomtangulia kwa miaka sita ije iuzwe kwa pesa inayokopwa kwa mwaka mmoja tu wa SSH!.

Tupunguze kujiona wanyonge, ukijihisi mnyonge kila kukicha utakwenda kaburini na unyonge huo huo.
 
Kuandika nadharia ndefu ndefu huwa tunaweza sana. Tatizo ni pale tunapopewa nafasi ya kutekeleza yale tunayoyaongea majukwaani.
 
Mkuu Lord denning hawajakuita chawa mpaka dakika hii?. Watu wana chuki za kijinga sana Tanzania ya leo.
 

ASANTE WENGI WALIKUMBILIA KUWEKEZA MTWARA WANEPATA HASARA KUBWA SANA KWA KUISIKILIZA SERIKALI
 
Hii mikataba ilishawahi kupitiwa na wataalamu wetu hapa nchini?
Au imepitiwa juu kwa juu kama ile ya akina Sultani Mang'ung'o?
Iwekwe wazi ndio tuweze kutoa maoni bila hivyo hapana!
 
Hayo ni makaratasi tu sio hard cash.

Mziki upo kubadili hayo makaratasi kuwa hard cash na kwa faida iliyokusudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…