Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?

Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.

Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.

. Kalaga baho.
Wapo wajinga kwenye jamii yoyote cha muhimu ni kuachana nao. Kazi yao huwa ni kulalamika na kulialia umaskini hata pale fursa zinapoletwa miguuni mwao.
 
Mnatumia nguvu kubwa kuwauzia waarabu mali asili zenu... Ukishindwa wewe kuendesha jambo fulani liache atakayekuja atalimudu... What if watangulizi wangeamua kuuza mali za Tz kwasabab hawakuwa na uwezo wa kuziendesha..?
Mnatumia nguvu kubwa kujaribu kumchafua Rais wetu lakini wenye akili timamu wanaelewa anafanya nini kwa malengo gani.

Nyinyi mlioamua kuwa na akili negative bakini nazo tu hakuna wa kuwazuia.
 
Kwa hakika Rais wetu shupavu ,imara,mzalendo, madhubuti na mchapa kazi mama Samia suluhu Hassani amedhamiria kuhakikisha kuwa Tanzania na watanzania tunanufaika na fursa za kiuchumi kutoka kila pembe ya Dunia,Rais Samia Ni Neema kwa maisha ya watanzania kwa kuwa tunakwenda kushuhudia mtirirko wa fursa za kiuchumi kwa nchi yetu, tunakwenda kupata fursa nyingi Sana za ajira hasa kwetu vijana,tunakwenda kuona mapato yetu yakipaa zaidi,tunakwenda kuona kipato na uchumi wa mtu mmoja mmoja ukikua na kuongezeka ,tunakwenda kuona Hali ya maisha ya watanzania ikiboreka na kuwa yenye kutia matumaini.

Tunakwenda kushuhudia na kuona uchumi wetu ukigusa maisha ya watanzania,tunakwenda kuona mzunguko wa fedha mitaani ukiwa wenye Afya ,tunakwenda kuona biashara zikishamiri hapa nchini ,tunakwenda kuona Tanzania ikizipita kiuchumi nchi za jumuiya ya Afrika mashariki na Kati,tunakwenda kuona Tanzania ikiwa chaguo namba moja kwa watalii na wawekezaji.

Hii Ni kutokana na uwezo mkubwa alio nao Rais wetu mpendwa mama Samia kiushawishi na katika kuwashawishi wawekezaji, pia kutokana na mazingira Bora na rafiki katika kuwekeza lakini yanayozingatia maslahi mapana ya Taifa letu.

Najuwa na Nafahamu kuwa wapo wengine kwa Sasa hawawezi kuona fursa ambazo nchi yetu inakwenda kuzipata na kunufaika nazo. Mbele ya safari Hawa wachache wanaompinga mh Rais watapiga magoti mahala walipo kumuomba msamaha mh Rais Kama kiongozi na katika uongozi najuwa Ni kawaida kushambuliwa ba kiongozi mwenye maono hubaki katika msimamo anao amini utalipeleka mbele Taifa kiuchumi,Ndio maana Rais wetu kwa ushupavu na umadhubuti wake ameendelea kuwa mtulivu na na Kuendelea kuchapa kazi kwa ajili ya kuleta Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania.
Eeeeh na wewe kujifanya CCM kunoga.
 
Hakuna anayepinga kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kibiashara kati ya serikali ya JMT na ile ya Dubai. Bali kuna maeneo yenye mguso wa kisheria ndani ya IGA yana ukakasi.
  • Tanzania imesaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara wa dola za Marekani bilioni 7.49 na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
  • Samia Suluhu aliongoza utiaji saini wa mikataba 36 ambapo 12 ilitiwa saini na taasisi za serikali.
  • Kwa kufanya kazi na Tanzania, alisema, UAE itafurahia soko la watu milioni 177 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anaingia kwenye vichwa vya habari, cha hivi punde zaidi ni mkataba wa kuvutia wa kibiashara wa dola za Marekani bilioni 7.49 na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Hakuna anayepinga kuhusu uwekezaji huu wa DP World. Bali kuna maeneo yenye kulalamikiwa, ambayo kabla ya kujifunga katika sheria za kimataifa yanapaswa kuwekwa sawa. Huwezi kwenda katika HGA hali kukiwa na utata kuhusu ukomo wa mkataba, eneo la kimamlaka la mwekazaji, na suala zima la usalama wa nchi yetu.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee [emoji1484]

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Mbona hujaitaja hiyo mikataba au MOU kwamba ni nini na nini kinahusika?
 
Na amejtahidi kuuweka uwazi lakini hofu tu ya baadhi ya watu muhimu kuboresha vipengele vyenye utata.
Kuna watu walikuwa na hofu kama hii wakati hayati Mkapa alivyoleta FDI za SA lakini nyingi zinafanya vizuri mpaka leo
Taja moja
 
Vile Visiwa ni Vya RA meli zake ndio zinapeperusha Bendera huko Duniani!
Sivijuwi.

Natamani huu mkataba ubadilihwe. Vifungu vyote vya sheria, Mpewe nyie. Muuandike upya mwnazo mpaka mwisho, halafu mama awapeleke DP World wakajenge gateway port Zanzibar kama walivyofanya London gateway port.
. Ndani ya mwaka mmoja kitu tayari, bandari ya Dar ibaki kuokea mizigo kutoka Zanzibar tu.

Unafikiri meli ipi ya nje itakuja hapa ikiwekwa DP World Zanzibar gateway port? Ambayo meli ikifika tu tu ndani ya masaa mawili matatu mzigo umeshshashushwa. Unawangoja mapoyoyo mkau chukuwe. Zanzibar kiulaini watakuka hela zao za kuegesha makontena yenu tu.

Mama ni mwema sana hakufanya hayo. Lakini, lisemwalo lipo.
 
Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?

Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.

Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.

. Kalaga baho.
Nipe connection na Mbarawa basi nipige fedha za maana. Niko tayari Kuslimu. Niletee na ile kofia pendwa
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Wewe unatumia ngapi? Na zinahusu nini? Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
 
Sivijuwi.

Natamani huu mkataba ubadilihwe. Vifungu vyote vya sheria, Mpewe nyie. Muuandike upya mwnazo mpaka mwisho, halafu mama awapeleke DP World wakajenge gateway port Zanzibar kama walivyofanya London gateway port.
. Ndani ya mwaka mmoja kitu tayari, bandari ya Dar ibaki kuokea mizigo kutoka Zanzibar tu.

Unafikiri meli ipi ya nje itakuja hapa ikiwekwa DP World Zanzibar gateway port? Ambayo meli ikifika tu tu ndani ya masaa mawili matatu mzigo umeshshashushwa. Unawangoja mapoyoyo mkau chukuwe. Zanzibar kiulaini watakuka hela zao za kuegesha makontena yenu tu.

Mama ni mwema sana hakufanya hayo. Lakini, lisemwalo lipo.
Zanzibar imeelemewa na Raia ukiiomgezea majukumu Visiwa vitazama ndio sababu Waunguja Wenye akili akina Hamad Rashid wamejiapiza kamwe Muungano hauvunjwi!

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Nipe connection na Mbarawa basi nipige fedha za maana. Niko tayari Kuslimu. Niletee na ile kofia pendwa
Mbarawa hana connection za biashara, wewe lucifer watu hawasilimu kwa pesa, huo ni ujinga.

Uliza kiheshima tukuelekeze ende wapi, ukamuone nani. Useme sasa hivi unafanya biashara gani, kama huna cha kufanya sema huna kazi tukuelekeze wapi pa kwenda.

Tafadhali asitume mtu pm huwa sijibu.

Unataka kuuliza uliza hapa hapa jukwaa la wazi wengi wafaidike. Mwenye kisu kikali ndiye mla nyama.
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.

Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.

Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.

Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾

Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones

Tanzania-UAE Relations:​

By Giza MdoeMarch 4, 2022.

  • Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
  • Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
  • Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).

President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.

Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.

Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones

Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Fursa tunazo waTanzania wenyewe.
Hakuna mtu mwingine yeyote toka nje atakayetuletea maendeleo hapa.

Huku ni kukosa akili kichwani.
 
Zanzibar imeelemewa na Raia ukiiomgezea majukumu Visiwa vitazama ndio sababu Waunguja Wenye akili akina Hamad Rashid wamejiapiza kamwe Muungano hauvunjwi!

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Hakuna anaongelea kuvunjwa muungano. Zanzibar ina nafasi kubwa sana haikuelemewa wala hata kukunwa bado. Tazama Singapore, kijikisiwa kidogo tu na bafo kinakuwa mpaka leo.

Mimi ni Mtanganyika, siyo Mzanzibari lakini nakwambia uungano ukivunjika hasara kwa Tanganyika. Kumbuka hilo.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom