Mimi bado nasoma, ni mwanafunzi daima.L
LllllKwamba wewe umesoma??ndo elimu yako hii??afadhali hata mbunge Msukuma ana phd uchwara
"Bambadia" ndiyo mnyama gani?Kulipoibuka tu sakata la Bandari na wewe ukaibuka, Je, wewe ndo wale mliopanda bombadia na kuwa mmoja wao waliopokea 6 M?
Wale waandishi wa habari na wabunge wamekiri, waarabu wakimaliza kusali huenda kutoa rushwa!.Walishawahi kukupa rushwa?
Umewahi kufika Dubai?
Mtu wa Arusha.Mimi ninezaliwa na kukulia Dar. Kwetu ni karibu sana ya Dar, wilaya ya Mkuranga.
Mbona jina lako. La kizanzibari. Wewe ni mtu wa wapi?
Kwenye uuzaji wa Tanganyika kuna uzanzibari na udini. Wauzaji wakubwa wa nchi wanatoka Zanzibar na ni waislamu.Chuki na ubaguzi unakusaidia nini babaa? Udini unakusumbua, hebu changia bila kuingiza udini na utaifa
Swala ni masharti ya mkataba... Mbona mnatumia nguvu sana kutaka kiwaibia wa tz na wakati wewashtukia?Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje.
Nawashangaa zaidi waandishi wa habari wa Tanzania, hususan hawa free lancers waliojazana sasa hivi kwenye mtandao. Alziandika Mwandishi. Mmoja tu, msome chini hapa.
Walitakiwa wazitangaze sana fursa hizi. Hii siyo mikataba ya siri wala kuficha ni mikataba iliyosainiwa kihalali na vyonbo vya habari vya nje viliiandika.
Nadiriki kusema Mkataba wa bandari unaoshangiliwa na kukoromewa na kila mtu sasa hivi ni mkataba mdogo sana ukilinganisha na mikataba iliyisainiwa na fursa zilizopo. Jisomee 👇🏾
Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu’s milestones
Tanzania-UAE Relations:
By Giza MdoeMarch 4, 2022.
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan is making headlines, the latest of which is an impressive US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE).
- Tanzania has signed a US$7.49 billion business partnership deal with the United Arab Emirates (UAE)
- Samia Suluhu spearheaded the signing of some 36 MoUs of which 12 were signed by government public institutions
- Working with Tanzania, she said, the UAE will enjoy a market of 177 million people of the East African Community (EAC)
President Samia, the first woman president of the country, attended Dubai Expo 2020 at the turn of the week. She was received by Vice President and Ruler of Dubai, Sheikh Mohammed bin Rashid, at the start of this month.
Among other things, Sheikh Mohammed and President Samia discussed ways to extend cooperation between their countries. The meeting was strategically held during Tanzania’s national day at the fair.
Themed, Connecting Minds, Creating The Future chimed well with her country’s own theme, Ready To Take Off, the Expo gave the two leaders the opportunity to discuss bilateral relations and open up business opportunities for both countries.
“These two themes embrace the new age of investment and trade with strategic partners like the UAE, in particular, and the Gulf in general,” President Samia commented about the Expo theme.
President Samia took the opportunity to invite UAE investors to Tanzania saying in line with the Expo theme, Tanzania is ‘Ready to take off.’
“I would like to take this opportunity to welcome you all to Tanzania, where the business and investment environment are more than conducive. Come one, come all to Tanzania,” she said.
Soma zaidi: Tanzania-UAE Relations: President Samia Suluhu's milestones
Tafsiri kwa Kiswahili itafatia chini huko.
Weeeeeee SEMA kweli?! Mjomba wetu kule Oman hajambo??Unguja inakuwa zaidi ya Dubai.
Hivi unajuwa Wazanzibari baada ummaa mapinduzi ndiyo waliibadili Dubai?
Kwenye uuzaji wa Tanganyika kuna uzanzibari na udini. Wauzaji wakubwa wa nchi wanatoka Zanzibar na ni waislamu.
Unafikiri itasemwa kwamba wanauza nchi? Utaona hilo kupitia mikataba ya hovyo kama huu wa bandari.Una ushahidi gani kama wanauza au wameuza nchi, ninyi ndio wale mkipelekwa mahakamani mnasema ooh nimeonewa mara ooh mimi sijasema nchi inauzwa, bla bla nyingi, kama huna cha kuchsngia ni heri ukae kimya
Unafikiri itasemwa kwamba wanauza nchi? Utaona hilo kupitia mikataba ya hovyo kama huu wa bandari.
Eti hofu ya Mwenyezi Mungu! Nani huyo tumwachie nchi aongoze milele? Nchi huuzwa kwa mikataba mibovu. Uhakika wa kusema hivyo ni huu mkataba mmbovu uliosainiwa juzi. Unataka uthibitisho gani zaidi au na wewe ni mnufaika wa udhalimu huu?Kwanini bwana fazili utangulie kusema hivyo ilhali huna uhakika/ushahidi wa hilo! Kiongozi kama kiongozi akifanya hivyo basi atabeba dhima kubwa kwa Mwenyezi Mungu, maana atakua ameshaingia kwenye dhambi, kuuza nchi sio kitu kidogo, huyu mama hawezi kufanya huo upumbavu, anajielewa, ana hofu na Mwenyezi Mungu. Hivyo acha dhana potofu bwana fazili
mkapa hakuingia mkataba wa aina hii au ule wa baba yako wa loliondo. Tanzania will never forget this.Sawa tumekusikia. Wale wa zamani wenzangu watakumbuka tulisikia hayo ya mapoyoyo wakisema bchi wanauziwa makaburu. Akiambiwa Mkapa anauza nchi. Mboa bado ipo mopaka keo?
Wajanja wachacge wenye exposure wakaiona fursa, wakaikumbatia, keo mabilionea Tanzania hii.
Wewe ningekuona una akili ungeuliza, hizo fursa tunazipata vipi , siyo kubwabwaja bila mpango. Kauze vyako kama rahisi.
. Kalaga baho.