Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Msitarajie mwaarabu atatukomboa na kutuletea mana na asali!

Hiyo miujiza aliiweza Yesu Kristo tu.

Watanganyika chapeni kazi na kufikiri kujikomboa acheni kujipakaa lip stick na kusubiri waarabu kuja kuwafanyia kazi mkomboleke.
Yesu kakumboa nini wewe umedanganywa na wazungu. Yesu alikuwa mtu mweupe? Ndiyo maana mzungu kila kitu kibaya kwake ni cheusi/ Uislam umekujo kukukomboa wewe, wacha ujinga.

Waarabu ndiyo walikuletea ustaarabu wewe, kama ulikuwa hujuwi, ngoja Yesu arudi kuja kuwasuta . Unafikiri atakuja kufanya nini? Kuwasuta tu. anasema mimi nimetumwa, nyie mnasema yeye Mungu, wapi Yesu kasema yeye Mungu,wacheni uounguwani nyinyi.

Mama Waarabu wamemuheshimu kuja hapa kwa Uislam wake tu, hawajaja hapa kuwaibia kama wanavyowaibia wazungu, wanachukuwa malizote wanawawachia mashimo tu. Mwarabu anakuja kujenga hapa siyo kuwacha mashimo.

Tumieni vichwa vyenu kufikiri japo kidogo.
 
 

Attachments

  • IMG_5494.MP4
    148.2 KB
Familia baba akikata moto, kinachotokea ndicho kilichotokea Tanganyika.
1. Muungano
2. Chama cha kijani
3. Kitabu kipya kukifuta kile cha 77,

Bila kufuta nilivyovitaja hapo juu, Tanganyika imekula kwetu.
 
Uislam ni mwema sana, Wajomba wamemuheshimu mama kwa mafunzo yao ya Kiislam, unafikiri angennda 'mat*ko sijuwi matiko, angewaleta Waarabu hapa? Thubutu.

Uislam ni mwema sana.
Uislam umeingiaje hapa? Subutuu Yako waarabu watawala ti-go tu
 
Kweli tumesain hata wa kuendeleza misitu yetu. Hivi kweli tuko serious kufundishwa kupanda miti na mtu wa Jangwani. Ni uvivu wetu au vipi. Mwisho tutafundishwa kula ugali.
 
Hii sinema ya DP world ina 'episode' ngapi ?
 
Nitetee mie kuku?

Vitu viko wazi kabisa. Mama kenda kumtowa nyoka nwenye almasi pangoni. Kwa Uislam wake tu, hakuna zaidi.

Uisalam mwema sana.
Dini ni kivuli Cha watu wapuuzi na wapumbavu.

Dini zenyewe hizi tumeletewa. Ujinga mtupu. Utumwa wa fikra kuacha kujibu hoja unatafuta Huruma ya dini.

Nb: Nimesema Mara nyingi humu washenzi wote wanaotetea hii kitu hawajadili yale ya msingi bali ya kwao wanayoyajua.


Waislam wa Zanzibar Ni WENGI kuliko wa bara.

Samia ndiye muislamu wa KWANZA kuwa Rais wa JMT.

Wee nawe Ni kuwadi tu!
 
Unajifanya mwarabu wakati huna hata mjomba Oman. Uarabu wa kuwakumbusha watu.

Samia na Hussein Wana wajomba kule
 
We si Mwarabu, wapigie debe wenzako
 
Ooh tena umenikumbusha fursa hiyo, ngoja nimpigie Khadija Kopa atutolee nyimbo ya DP World. lazima Waarabu wampe utajiri.
Mhamie huko kabisa mpate huo utajiri kwa kiwasifiahia vyoo, kuwapikia biriyani na kuchambisha vitoto vya kiarabu. Mwarabu siku zote anategemea labor ya Wazungu na Wahindi kuendeleza nchi zao. Ni ukwasi tu wa mafuta na tamaa za Sultani wao.
 
Ooh tena umenikumbusha fursa hiyo, ngoja nimpigie Khadija Kopa atutolee nyimbo ya DP World. lazima Waarabu wampe utajiri.
Niambie Muislamu Mtanzania aliyeenda kutafuta maisha Uarabuni akawa tajiri huko? Hakuna fursa zaidi ya kazi za kitumwa za kuajiriwa. Na wewe na Uislamu wako ni kima tu mbele ya Muarabu. Muarabu anamthamini Mfilipino Mkristo na Muhindi maradufu zaidi ya wewe Mzaramo mfia dini wa Mkuranga.
 
Ooh tena umenikumbusha fursa hiyo, ngoja nimpigie Khadija Kopa atutolee nyimbo ya DP World. lazima Waarabu wampe utajiri.
Nipe takwimu za vitabu vya maarifa, teknolojia na sayansi vilivyochapishwa na Wasomi wa nchi za Kiarabu mwaka wowote wa karibuni? Hamna wanachochapisha Waarabu zaidi ya mamilioni ya nakala za Quran na vitabu vya dini ya Uislamu.
 
Nipe takwimu za vitabu vya maarifa, teknolojia na sayansi vilivyochapishwa na Wasomi wa nchi za Kiarabu mwaka wowote wa karibuni? Hamna wanachochapisha Waarabu zaidi ya mamilioni ya nakala za Quran na vitabu vya dini ya Uislamu.
Elewa tu hilo neno "maarifa" (knowledge) ulilolitumia ni la Kiarabu. Swali lako ni kama upo coco beach halafu unauliza baharini wapi. Bila Mwarabu ungefahamu ni nii maarifa? Fikiri.
Kuhusu sayansi ta "teknolojia", tafadhali pitia teknolojia zote uzijuazo leo duniani hapa halafu unambie ipi moja wapo haijatokea kwenye elimu ya Waarabu. Elewa kuwa hata hii teknolojia unayoitumia sasa hivi kuwasiliana (Information Technology) bila elimu ya Waarabu tusingekuwa nayo leo hii. Msome Alkhawarizmi ambae 'mzungu" akambadilisha jina (kama kawaida yake ya kubadilisha majina ya watu) ili aonekne yeye ndiyo wa maana alikuwa nani/nini?

Nakupunguzia kazi, wamebadilisha Alkhawarizmi wakaita Algorithm. Ongeza maarifa, bofya chini hapo:


Hakika unaweza kumuibia mtu chochte lakini huwezi kumuibia elimu yake.
 
Wewe siyo "race" au "kabila" la hao Waislamu wa kale, hata kama walifanya "maajabu" ya kuhadithiwa ya kisayansi enzi zao. Wewe ni Mzaramo wa Mkuranga au sijui Mndengereko na utabaki kuwa hivyo na vizazi vyako milele. Kuwa Muumini wa Uislamu haumuwezeshi mtu yoyote kuongeza elimu yake Kisayansi na Kiteknolojia kwa viwango vya dunia ya sasa. Sawa?
 
Siyo sawa. Hizo zako ni fikra za kijinga. Ujinga Mwafrika wa leo ni kudhani kuwa anajuwa kumbe hajuwi. Kwa waleo namaanisha baada ya kuwa koloni la wazungu


Hao masayantisti wa dunia ya sasa wanakwambia hivi:

 
Watanzania Walimtuma Saa100 kwenda kusaini hiyo mikataba 30?

Mbona yote inahusu bara na Sio muungano?
 
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Falme za Kiarabu: Hatua muhimu za Rais Samia Suluhu

Uhusiano wa Tanzania na UAE:​

Na Giza MdoeMachi 4, 2022.

  • Tanzania imesaini mkataba wa ushirikiano wa kibiashara wa dola za Marekani bilioni 7.49 na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
  • Samia Suluhu aliongoza utiaji saini wa baadhi ya MoUs 36 kati ya hizo 12 zilisainiwa na taasisi za umma za Serikali
  • Akifanya kazi na Tanzania, alisema, UAE itafurahia soko la watu milioni 177 wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…