G
guest-1787677255
Guest
2 na 5 pekee ndio nimeokota ila kwingine nimetoka patupu.Bwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
2 na 5 pekee ndio nimeokota ila kwingine nimetoka patupu.Bwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Nyie watu mnatuchota sanaOyaaa safiii
Wewe utakuwa humfahamu Butiku vizuriWepesi sana hao
Kwa shida sana tena dakika za nyongezaPaka ameshafungwa kengele😂😂
"Nyuzi" zinazo kunyima raha kwelikweli!Chadema tunapenda nyuzi za kitapeli kama hizi
5. Akina Abdul na genge lake toka kisiwaniIla orodha isiyowekwa wazi ni hiyo inayosimama na Samia hadi mwisho; ni akina nani hawa:
1. Kikwete
2. Akina 'Roast' na timu nzima (msululu)
3. Sehemu kubwa ya BAKWATA
4. Akina Mchengerwa, na watu wa aina hiyo
5.
.
SioNakupa namba moja Butiku.
Hao ni sehemu ya namba 4.5. Akina Abdul na genge lake toka kisiwani
Mhhh hiyo haiwezekani wata mu- eliminate Hiyo ni sera ya system ya kitaifa kwaajili ya kulinda power imbalance Kwa Wananchi maana hili Taifa Lina Wananchi wengi wenye uwiano sawa wa hizi dini mbili tofauti, .TATIZO LENU NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA MWANAMKE KIONGOZI ....KAZI YA KUMDHIBITI MWANAMKE MPUMBAVU MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI NGUMU KULIKO MWANAUME.
Kwanza akifanikiwa kujibakisha madarakani basiii....uwezekano wa kupisha Ikulu ifikapo 2030 itakuwa ni asilimia 10% tu na hata akipisha huyo atakaye mpisha lazima atamchagua yeye kwa asilimia 100% hivyo swala kama la form moja litatumika ili kuhakikisha huyo Mteule ni lazima awe yeye ...uwezekano wa huyo Mteule kuwa mkristo kama ilivyo kawaida ya pokezana wakristo na waislamu utakuwa ni asilimia 3% ila uwezekano wa muislamu utakuwa asilimia 97%
Sio nimekosa Mimi nimekosa sana?Naombeni code ya Ru Goodbye. Aaah acheni tu nimeelewa. Kumbe ni kule kwa Namungo FC.
code ambazo to decipher ni ngumu, of what use?Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Liache lipumue mpaka lipate kisukari na bpHii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
boss nimekupata. Nilikuwa ninausubiri huu Uzi kwa muda.Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!