Mitch McDeere
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 354
- 722
BOOT KUU inaweza kuwa ni Jeshi (JWTZ)Mtu unajiita slow learner utawezaje kuelewa....
1. Butiku
2. Warioba
3.&&&&
4. Majaliwa
5. Gwajima.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
BOOT KUU inaweza kuwa ni Jeshi (JWTZ)Mtu unajiita slow learner utawezaje kuelewa....
1. Butiku
2. Warioba
3.&&&&
4. Majaliwa
5. Gwajima.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Ukiwa mtandaoni yaani utafikiri Tanzania kuna vita zaidi ya Gaza ila nenda mtaani nchi hiko vizuri na salama kweli kweliNasikia vikao ni kama vyote , waganga wanamtia moyo na machawa ndiyo wako more seriously,ngoja tuone.
Mkuu hizi code nimeshindwa kufungua 🤔Bwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Nimebahatika #2.Bwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Kwamba goodbye umeioanisha na "ngwe " ya mwisho kwenye radio ya taifa enzi za kina Ezekiel malongo??Naombeni code ya Ru Goodbye. Aaah acheni tu nimeelewa. Kumbe ni kule kwa Namungo FC.
Sio kuacha glass za Maji...hata Maji ya kuletewa hapana kwa sasa .Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Huyu ni kama Tupac ngoma zake ni maangamizi, mtu kafa 1996 ngoma zake zinakimbiza tu trending..July Majaliwa katimuliwa.....mimi nafuatilia sana maana hauji hapa hovyo kama Madam Lucas na Bibie Chinembe wewe ukitua ni mithili ya Tai haukosei.
Namba 4 haina uhuru kwa maslahi ya nchi hasa usalama.Na ingetokea hawa wachache wakasema inatosha; kazi ingeisha kabla ya saa tano:
1. Makamu Mwenyekiti (sijui anapigania nini sasa hivi maishani mwake)
2. Katibu Mkuu, akaweka maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi binafsi anayo yatarajia
3. Makamu wa Rais (pamoja na kwamba amekwisha jitoa)
4. Nashindwa kumpata/kuwapata waliopo BAKWATA wanaosimamia maslahi ya nchi zaidi ya imani zao. Wapo, lakini hawataki kujitoa mbele.
5. Hao walio orodheshwa huko juu ya mada; akina Kassim, Butiku, Warioba na wengineo.
Musu
Hahahahaaaa!Ramli endelevu kazini
Akili zako ni mfuMhhh hiyo haiwezekani wata mu- eliminate Hiyo ni sera ya system ya kitaifa kwaajili ya kulinda power imbalance Kwa Wananchi maana hili Taifa Lina Wananchi wengi wenye uwiano sawa wa hizi dini mbili tofauti, .
Endapo pakikosekana hiyo power imbalance Kwa muda mrefu n hi inaweza kuingizwa ktk machafuko ya kidini na wanasiasa Yaani Wana siasa wanaweza kutumia hiyo as strategy weapon ya kushindana na serikali iliyopo madarakani na kuiingiza nchi ktk machafuko
Hawezi kufanya hivyo mabeberu wenyewe lazima watamla kichwa maana mabeberu wanaitegemea sana tz kama strategy area ya kupitisha biashara zao kwenda congo Rwanda Zambia etc , So endapo Amani ya nchi ikivurugika it means hata soko lao la biashara litakuwa linakwenda kufa so hawawezi kuruhusu huo Ujinga utokee
That's why unaona hii nchi kuingia kwenye machafuko Huwa inakuwaga ngumu sana Cuz wenye Dunia Yao wanahitaji hapa pawe na amani ili waweze kufanya biashara zao na nchi nyingine zisizo na bandari Kwa wepesi
Sema wazi, ni nini hii inayotafuna? Maisha, woga, au kitu kingine? Na mbona glass za maji? Hebu toa context kidogo🔥Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Marais hwajawahi kuteuliwa kwa misngi ya dini. Katiba yetu haisemi hivyo. Katiba inataka Mgombea akitoka upande moja basi makamu atatoka upande wa pili wa muungano.TATIZO LENU NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA MWANAMKE KIONGOZI ....KAZI YA KUMDHIBITI MWANAMKE MPUMBAVU MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI NGUMU KULIKO MWANAUME.
Kwanza akifanikiwa kujibakisha madarakani basiii....uwezekano wa kupisha Ikulu ifikapo 2030 itakuwa ni asilimia 10% tu na hata akipisha huyo atakaye mpisha lazima atamchagua yeye kwa asilimia 100% hivyo swala kama la form moja litatumika ili kuhakikisha huyo Mteule ni lazima awe yeye ...uwezekano wa huyo Mteule kuwa mkristo kama ilivyo kawaida ya kupokezana wakristo na waislamu utakuwa ni asilimia 3% ila uwezekano wa muislamu utakuwa asilimia 97%
Unafahamu maana ya kitu kuwa mrama ?Ukiwa mtandaoni yaani utafikiri Tanzania kuna vita zaidi ya Gaza ila nenda mtaani nchi hiko mrama kweli kweli
Nisaidie mkuu labda kiswahili kimepiga chenga ila nilimanisha kwenye sawa sawaUnafahamu maana ya kitu kuwa mrama ?
Ni kinyume chakeNisaidie mkuu labda kiswahili kimepiga chenga ila nilimanisha kwenye sawa sawa