Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Marais hwajawahi kuteuliwa kwa misngi ya dini. Katiba yetu haisemi hivyo. Katiba inataka Mgombea akitoka upande moja basi makamu atatoka upande wa pili wa muungano.
Nani kasema katiba inasema ? Nimesema kawaida ..... tatizo la waislamu wote duniani kama nilivyo sema hapa kuwa mtu awezi kuwa ni muislamu mwenye kuamini kwenye uislamu akawa na akili timamu yenye kuona mbele ....hayo mambo yote ninayo eleza hapo hayata fanyika kwa maslai ya taifa bali dhidi ya taifa ...huyo muislamu atakaye pewa kugombea atapewa dhidi ya taifa hivyo ni upumbavu kuona unashabikia aina hiyo ya watu ...tunampinga samia siyo kwa sababu ni muislamu bali kwa sababu ni ADUI WA WAZALENDO NA UZALENDO NA ADUI WA TAIFA LA TANGANYIKA...TUNAMPINGA KWA SABABU YA KUTUKUZA KURAMBA MAKALIO YA WAZUNGU NA WAARABU...TUNAMPINGA KWA SABABU YA KUUA DAMU ISIYO NA HATIA TENA AKISIMAMA PAMOJA NA MAFISADI .
 
TATIZO LENU NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA MWANAMKE KIONGOZI ....KAZI YA KUMDHIBITI MWANAMKE MPUMBAVU MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI NGUMU KULIKO MWANAUME.
Kwanza akifanikiwa kujibakisha madarakani basiii....uwezekano wa kupisha Ikulu ifikapo 2030 itakuwa ni asilimia 10% tu na hata akipisha huyo atakaye mpisha lazima atamchagua yeye kwa asilimia 100% hivyo swala kama la form moja litatumika ili kuhakikisha huyo Mteule ni lazima awe yeye ...uwezekano wa huyo Mteule kuwa mkristo kama ilivyo kawaida ya kupokezana wakristo na waislamu utakuwa ni asilimia 3% ila uwezekano wa muislamu utakuwa asilimia 97%
Kazi ya kumteua mgombea urais wa CCM kwa uchaguzi Mkuu wa 2030, ilisha kamilika toka ile Jan 19, 2025,
Utaratibu wa CCM ni kupokezana kati ya Mkristo na Muislam.
Nyerere alikuwa Mkristo
Mwinyi Muiislamu
Mkapa Mkristo
Jakaya Muislamu
JPM Mkristo
Samia Muislamu
Anayefuata ni Mkristo
NB. Akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!.
P
 
Back
Top Bottom