misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Siyo kweliHawa bado ni watu wadogo kwenye system
Ukimuona mzee Butiku unaweza kusema ni wa kawaida.
Kumbuka mawaziri wakuu wengi ni teeth, Mizengo mmoja wapo.
Siyo kweliHawa bado ni watu wadogo kwenye system
bila kusahau nabii za nusu mlingotigwaji, slow slow, cdm, TEC, pressure pressure is for deaf🐸
Comical AliBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Tangu enzi za Nyerere kulikuwepo na tetesi kama hizi..Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Hapo code no4 imenipunguzia marks na ticha kashaanza kukusanya karatasi!Mwenye kuweza kufungua hizi codes please!
Watu wakubwa ni yupi na yupi?Hawa bado ni watu wadogo kwenye system
Mizego anajulikana sana na yuko lank za juu za teeth lakini hao bado kuna wengine watatu nao wajua wakisogea hapo najua hii ngoma imekua ngumuSiyo kweli
Ukimuona mzee Butiku unaweza kusema ni wa kawaida.
Kumbuka mawaziri wakuu wengi ni teeth, Mizengo mmoja wapo.
Jf ilikuwepo pia?Tangu enzi za Nyerere kulikuwepo na tetesi kama hizi..
Sadly, nothing happened.
Kama unajua hilo hao wazee ni kati yao, kama ukujua Mchungaji Kapilimba basi hata John Cena usibisheMizego anajulikana sana na yuko lank za juu za teeth lakini hao bado kuna wengine watatu nao wajua wakisogea hapo najua hii ngoma imekua ngumu
Siku ingine usifafanue SI Kila mtu lazima aelewe.Mtu unajiita slow learner utawezaje kuelewa....
1. Butiku
2. Warioba
3.&&&&
4. Majaliwa
5. Gwajima.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Yan acha kabisa mkuu, jitu linaenda kupasuka vipande 7.bila kusahau nabii za nusu mlingoti
Ufisadi, kujuana na upuuzi mwingi yeye ni kama aliubariki zaidi kuliko wenzake wote waliotangulia.Anayetuharibia nchi ni JK...ilitakiwa TISS wamalizane nae huyu KENGE WA MSOGA.
Ww endelea kuwaza hivo hivo maboss zako wanahaha hukoUkiwa mtandaoni yaani utafikiri Tanzania kuna vita zaidi ya Gaza ila nenda mtaani nchi hiko vizuri na salama kweli kweli
Huyu ni yule aliyesema jimboni kwao wanamdai Bi MkubwaNaombeni code ya Ru Goodbye. Aaah acheni tu nimeelewa. Kumbe ni kule kwa Namungo FC.
Hakuna codes za kutumia akili hapo ni uswahili tu labda kama ni kilaza ndo utashindwa kuelewa...Smart Genius, codes zimeundwa kwa kutumia akili.
The words are twisted, but they give a sound which reasonates with their correct spellings.
Kumbe ndo mfanyavyo huko TEETH?
Janja janja tu.
akiseme ateme bungo, anaunganishwa kwenye kanyampasiroNa nasikia mazee Sele wa Hospitali ya Mombo kajifungia ofisini alalamika kazi ngumu.
Rudia kusoma ulicho kiandika CHAWA WA MAMAAkili kama zako wanazimiliki chadema ndiyo maana ccm inawasumbua hawajui la kufanya ...nakuakikishia ni ngumu Samia kuondoka madarakani kama akifika 2030 kuliko hata ilivyo sasa....hadi ikifika 2030 kutakuwa na kundi kubwa la chawa wa,samia ambao watakuwa wamefanya uovu mwingi sana pamoja naye na mikono yao itskuwa na damu , hivyo kuondoka kwa samia kutakuwa ni giza la mauti mbele yao watashirikiana kufa na kupona kuakikisha anabaki na yeye atakuwa na hofu ya kuachia uongozi kutokana na mambo yatakavyo kuwa ya kutisha na maovu waliyo tenda. ...
Roho zao zitakuwa ngumu kuondoka madarakani kama roho ya firauni farao wa misri alivyo kuwa na roho ngumu kuwaachia waisrael...uwezekano wa kikwete kufa baina ya 2025-2030 ni mkubwa sana na sababu ndiyo hizi ninazo kueleza ...Nyuma ya Samia kuna genge hatari la raia feki na wazanzibar na chawa wanao tumika kujichafua mikono yao kwa damu ....hivyo kuondoka samia maana yake damu iliyo mikononi mwao inaweza kuwa juu ya vichwa vyao.
Yule si ni Ruhangwa?🤔 Mmmmhmn hizi code azisuke upya,kuzifanyia decription inagoma.Ru Goodbye
Ru agwa
baMtu 😂😂😂😂akiseme ateme bungo, anaunganishwa kwenye kanyampasiro