Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Dude limekaa vibaya sana hakuna wa kulitatua ndani kwa ndani

Na ingetokea hawa wachache wakasema inatosha; kazi ingeisha kabla ya saa tano:
1. Makamu Mwenyekiti (sijui anapigania nini sasa hivi maishani mwake)

2. Katibu Mkuu, akaweka maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi binafsi anayo yatarajia

3. Makamu wa Rais (pamoja na kwamba amekwisha jitoa)

4. Nashindwa kumpata/kuwapata waliopo BAKWATA wanaosimamia maslahi ya nchi zaidi ya imani zao. Wapo, lakini hawataki kujitoa mbele.

5. Hao walio orodheshwa huko juu ya mada; akina Kassim, Butiku, Warioba na wengineo.
Jk mbona hujamtaja.Sasa hivi huyo ndiyo bosi wa bosi
 
1. Boot kuu = security guard
2. Rice = Wali (ila siye kanda maalumu twaita WARI)
4. Ru Goodbye = Kwa Namungo FC
5. John Cena= Mkono wa baunsa ulio trend sana kwenye mtandao wakati wa mtifuano na toto sumbufu Bashite.
Ila sijui kwanini namba 3 imerukwa.
Bado na wewe unamuuwekea code tena hahahaah
 
Hizi code siamini kama ni majina ya watu bali .
Kuna jeshi hapo
Usalama wa taifa
Viongozi wa dini
Na kamati ya usalama taifa ambayo inawahusisha wastaafu kama wakuu wa majeshi wastaafu na walliopo, maraisi wastaafu mawaziri wakuu wastaafu na aliopo na kadhalika
Sahihi.

Nahisi hayo majina ya watu yanasimama kama Taasisi ambazo hao watu wanahudumu kama principals au wakuu fulani katika taasisi hizo.
 
Halafu kwa nini anaongea kimafumbo angeweka bayana hilo dude limefanyaje na kutatokea nini.
Maana yake hapo chochote kitakachotokea atasema alishaona kitatokea
Nafikiri mleta mada hayupo kwa ajili ya wachangiaji kuthibitisha ya kutokea na kutokutokea kwa yale anayoyaandika.
Haya mengine ni brabra zetu tu sisi wachangiaji kuvuta muda, giza liingie tukalale.

Pia sidhani kama kila ujumbe unaoandikwa humu unapaswa kwenda kwa kila mmoja.
 
Nafikiri mleta mada hayupo kwa ajili ya wachangiaji kuthibitisha ya kutokea na kutokutokea kwa yale anayoyaandika.
Haya mengine ni brabra zetu tu sisi wachangiaji kuvuta muda, giza liingie tukalale.

Pia sidhani kama kila ujumbe unaoandikwa humu unapaswa kwenda kwa kila mmoja.
Hapa nahisi kuna watu wanawasiliana ila sisi tumeshupaza kutafsiri, Kumbe inawezekana wanaambiana tukutane jion bar ya chamwino🤣🤣🤣
 
TATIZO LENU NI KU UNDERESTIMATE UPUMBAVU WA MWANAMKE KIONGOZI ....KAZI YA KUMDHIBITI MWANAMKE MPUMBAVU MWENYE MAMLAKA YA MWISHO NI NGUMU KULIKO MWANAUME.
Kwanza akifanikiwa kujibakisha madarakani basiii....uwezekano wa kupisha Ikulu ifikapo 2030 itakuwa ni asilimia 10% tu na hata akipisha huyo atakaye mpisha lazima atamchagua yeye kwa asilimia 100% hivyo swala kama la form moja litatumika ili kuhakikisha huyo Mteule ni lazima awe yeye ...uwezekano wa huyo Mteule kuwa mkristo kama ilivyo kawaida ya kupokezana wakristo na waislamu utakuwa ni asilimia 3% ila uwezekano wa muislamu utakuwa asilimia 97%
Exactly, refers to Sheikh Hasina wa Bangladesh.
 
Back
Top Bottom