concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Kama nakuelewa vileAkili kama zako wanazimiliki chadema ndiyo maana ccm inawasumbua hawajui la kufanya ...nakuakikishia ni ngumu Samia kuondoka madarakani kama akifika 2030 kuliko hata ilivyo sasa....hadi ikifika 2030 kutakuwa na kundi kubwa la chawa wa,samia ambao watakuwa
Kumbe inatakiwa atoke kabla ya oktobawamefanya uovu mwingi sana pamoja naye na mikono yao itskuwa na damu , hivyo kuondoka kwa samia kutakuwa ni giza la mauti mbele yao watashirikiana kufa na kupona kuakikisha anabaki na yeye atakuwa na hofu ya kuachia uongozi kutokana na mambo yatakavyo kuwa ya kutisha na maovu waliyo tenda. ...
Roho zao zitakuwa ngumu kuondoka madarakani kama roho ya firauni farao wa misri alivyo kuwa na roho ngumu kuwaachia waisrael...uwezekano wa kikwete kufa baina ya 2025-2030 ni mkubwa sana na sababu ndiyo hizi
Hapa nahisi unamaanisha hata jk hayupo nae maana anahisi lazima aondoleweninazo kueleza ...Nyuma ya Samia kuna genge hatari la raia feki na wazanzibar na chawa wanao tumika kujichafua mikono yao kwa damu ....hivyo kuondoka samia
maana yake damu iliyo mikononi mwao inaweza kuwa juu ya vichwa vyao.