Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Huyu nae na code zake za kifala tu. Sasa Ru goodbye ndio code ya namna gani hii upuuzi tu.BUTIKU
WARIOBA
KATELEPHONE
Huyu nae na code zake za kifala tu. Sasa Ru goodbye ndio code ya namna gani hii upuuzi tu.BUTIKU
WARIOBA
KATELEPHONE
Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
- hapa nimeelewa BOOT KUU peke yakeBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Okwo aliyoki omukazi ogwo amanyile kufilisi abakandarasiBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Bwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Ru GoodbyeHuyu nae na code zake za kifala tu. Sasa Ru goodbye ndio code ya namna gani hii upuuzi tu.
ButikuBwana slow slow Ana backup moja kubwa sana
1.BOOT KUU
2. RICE OBA
4: RU GOODBYE
5: mkono wa Johncena
Akili kama zako wanazimiliki chadema ndiyo maana ccm inawasumbua hawajui la kufanya ...nakuakikishia ni ngumu Samia kuondoka madarakani kama akifika 2030 kuliko hata ilivyo sasa....hadi ikifika 2030 kutakuwa na kundi kubwa la chawa wa samia ambao watakuwa wamefanya uovu mwingi sana pamoja naye na mikono yao itakuwa na damu , hivyo kuondoka kwa samia kutakuwa ni giza la mauti mbele yao watashirikiana kufa na kupona kuakikisha anabaki na yeye atakuwa na hofu ya kuachia uongozi kutokana na mambo yatakavyo kuwa ya kutisha na maovu waliyo tenda. ...Kazi ya kumteua mgombea urais wa 2030 kwa CCM, imeisha kamilika toka Jan 19, 2025,
Utaratibu wa CCM ni kupokeza Mkristo wa TEC na Muislam wa Bakwata.
P
Kwahiyo hii yamaanisha kwamba ni mchuano wa fainali kati ya Mzizima United na ......Ila orodha isiyowekwa wazi ni hiyo inayosimama na Samia hadi mwisho; ni akina nani hawa:
1. Kikwete
2. Akina 'Roast' na timu nzima (msululu)
3. Sehemu kubwa ya BAKWATA
4. Akina Mchengerwa, na watu wa aina hiyo
5.
.
Mkuu, waeleweka uzuri sana.Akili kama zako wanazimiliko chadema ndiyo maana ccm inawasumbua awajui la kufanya ...nakuakikishia ni ngumu Samia kuondoka madarakani kama akifika 2030 kuliko hata ilivyo sasa....hadi ikifika 2030 kutakuwa na kundi kubwa la chawa wa,samia ambao watakuwa wamefanya uovu mwingisana pamoja naye hivyo kuondoka kwa samia kutakuwa ni giza la mauti mbele yao watashirikiana kufa na kupona kuakikisha anabaki na yeye atakuwa na hofu ya kuachia uongozi kutokana na kambo yatakavyo kuwa ya kutisha na maovu waliyo tenda ...
Roho zao zitakuwa ngumu kuondoka madarakani kama roho ya firauni farao wa misri alivyo kuwa na roho ngumu kuwaachia wamisri....uwezekano wa kikwete kufa baina ya 2025-2030 ni mkubwa sana na sababu ndiyo hizi ninazo kueleza ...nyuma ya samia kuna genge hatari la raia feki na chawa wanao tumika kujichafua mikono yao kwa damu ....hivyo kuondoka samia maana yake damu iliyo mikononi mwao inaweza kuwa juu ya vichwa vyao.
Na nasikia mazee Sele wa Hospitali ya Mombo kajifungia ofisini alalamika kazi ngumu.Hii inatisha ndani kwa ndani aisee
Hakuna wa kusovu! Dude linatafuna ndani kwa ndani !!
Hapumui,
Cha msingi msiache glass za maji wazi .
Britanicca!!!
Smart Genius, codes zimeundwa kwa kutumia akili.Butiku
Warioba
Majaliwa
Gwajima
Na mwingine?
😄Smart Genius, codes zimeundwa kwa kutumia akili.
The words are twisted, but they give a sound which reasonates with their correct spellings.
Kumbe ndo mfanyavyo huko TEETH?
Janja janja tu.
Ugumu wake nini?Na nasikia mazee Sele wa Hospitali ya Mombo kajifungia ofisini alalamika kazi ngumu.
Hawa bado ni watu wadogo kwenye systemButiku
Warioba
Majaliwa
Gwajima
Na mwingine?
Kuna wengine humu ni waganga wa kienyejiRamli endelevu kazini