Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Vinega haijaisha, vinega haikuwa ni sugu tu, ila wasanii wengi

Ila sugu alipoingia bungeni aliombwa na mbowe mwenyekiti wake wa chadema, kupunguza msuguano na mawingu ili kuleta umoja wa wasanii

Sema sasa wasanii wa kuleta umoja wako wapi kaka!!!!! Hawa wanaotembezwa kwenye kosta mastaa 15 Kwenda kupiga show ya laki mbili

Mimi mwenyewe nilisapot sana vinega, na sikuridhika sana na ile brothers aggrement

Kuna wasanii walihisi wamesalitiwa kutokana na resolution ilivyoenda haraka haraka

Ila kiukweli Sugu hajawahi badilisha mtazamo wake kuhusu vinega
 
Safi sana. . kiukwel hawa jamaa ni wanyonyaji .. Mbona mondi hawamchukuagi kumzurulisha au kisa kumpata ni mpunga mrefu. . wao wanataka vitonga tu
 
Clouds wanawafanya wasanii wakose kujiamini. Kila msanii anaona hawezi kujitegemea anapokuwa nje ya Clouds, inatakiwa wasanii wafunge mkanda ili kujinasua na huo ukoloni wa kifikra.
Ni kweli mkuu
 
Njaa Kali Ila Mondi mjanja kaona msimu wa fiesta huyooo!!shooting na neyo!
Hataki lawama!!!
Hapana, diamond ashavuka kwenye kiwango cha kutumikishwa

Kuna wakat meneja wake Alikuwa ruge, hakufanya chochote cha maana
 
Haha bro ongea ukweli tu, ni kweli viongozi walimuomba ayamalize, but ni kwamba alilipwa chake alichokuwa anakidai then akakausha na kuyamaliza kimyakimya bila kuwashirikisha wenzake
 
Utamkuta mtu anataka kulipwa 2Mil wakati ana nyimbo mbili

Boss Ruge namkubali sana ni mtu wa watu! Ila Rubby kimziki tumesha kuzika
 
Naunga mkono hoja mkuu ila ninashangaa kuna watu humu mpaka leo wanamtetea sugu.
Sugu aliwageuka wenzake waliojotosa kupigana naye kama Rama D, mapacha.
Kwa upande wa jide pia naye uwa namlaumu kwanini hakuunga mkono wakati vinega wameanza harakati au kwakuwa bado alikuwa in good terms na clouds.
Hizi harakati mtu anazianza pale anapoona anaanza kuanguka au ameisha ndiyo maana naziona fake.
Ipo siku weusi wakiisha chat utasikia nao clouds wanyonyaji lakini kwa sasa ....
 
Clouds sio kama wanawanyonya ila wanawataka kwa beibya discount kwa kuwa wanawapa show nyingi mfululizo. Ni kama mtu anaenunua bei ya jumla kwa kuwa unamuuzia vingi. Hivi mtu akitaka kukulipa 5M kwa show moja tu alafu akaja mwingine akataka kukulipa 3M kwa show 10 kwa akili ya biashara utasaini mkataba upi kati ya hiyo miwili? Wasanii sio wajinga nao ni wasomi wengine na wanawazidi elimu nyie na hivyo vidarasa vyenu na wengine wana managers wasomi. Wanafanya analysis na wanagundua kibiashara inalipa ma wana saini. We huniulizi wasanii wenyewe hawalalamiki mtu analalamika akishatemwa! Kwani Ruby ndo alikataa au Clouds ndo walimkata???? Elimu itumike zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…