Dudu baya a.k.a mamba aichana chana clouds fm, amwagia sifa rubby

Million 3 unazisema wewe, show moja ni laki mbili
 
Tatizo mzik wa bongo fitina na anayeongoza kwa fitina ni clouds
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kawa tolea uvivu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cmpendi dudu anavomtishaga baba Qayla seriously
 
Clouds media stressed coweezy cowbama mzee mnyama Ngwair to DEATH.
mawingu fm sio watu wazuri kabisa.
 
Kuna kauli nimeipenda hapo inabid wasanii waichukue tu hakuna namna...
Hii ya kulipwa ujira mdogo na pesa yote kuishia hukohuko mikoani
 
Kwa ujinga ule wa sugu
ONLY IN AFRIKA
 
Utamkuta mtu anataka kulipwa 2Mil wakati ana nyimbo mbili

Boss Ruge namkubali sana ni mtu wa watu! Ila Rubby kimziki tumesha kuzika
Kwa iyo akitoa ngoma mpya hutaisikiliza
 


hapo umenishitua sana mkuu je ulipowasikia na kuwaelewa umewasaidia nini au umewachangia nini katika mziki wao.. KAMA KWELI UNATAKA KUWASAIDIA HAWA WASAII ANZISHA FIESTA YAKO NA MATAMASHA MENGI KILA MWEZI NCHI NZIMA NA UWALIPE SH MILLION 10 KWA SHOW HAPO UTAIANGUSHA CLOUDS NA UTAKUA UMEWAWEZESHA KWA VITENDO SIO KWA MANENO.. KUWAELEWA HAISAII CHOCHOTE KATIKA MAISHA YAO NA MZIKI WAO....CLOUDS NDIO KUNA FURSA
 
Dully ka sign wcb?
 
Ningeshangaa Sana wewe muhudhuriaji wa Vipindi vya Zamaradi kama usinge tokea kwenye uzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…