MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
MAMBA KONKI KONKI KONKI OIL CHAFU MASTER.
Kama ilivyo kawaida yake ya kuparamia watu bila kufanya research ya kutosha kujua wako deep kiasi gani, Lemutuz amejikuta tena kakosea chaka na kuingia chaka la mamba wakati yeye ni kiboko, Katika ulimwengu wa bifu, kati ya mapambano 37 aliyoshiriki , Lemutuz amepoteza 36 na kushinda moja huku 35 akipoteza kwa knockout huku pambano lake na Mange Kimambi alipoteza dakika ya kwanza tu.
Katika video inayosambaa mitandaoni Dudu Baya alirusha maneno kwenda kwa Lemutuz ambayo kimaadili siwezi kuyaandika hapa.
Majirani wa Lemutuz wenye asili ya India mitaa ya Mnazi Mmoja wanadai baada ya jamaa kuona video hiyo alijifungia kwa masaa 6 ndani kwake akilia kwa nguvu kabla ya majirani hao kuamua kuvunja mlango na kumbembeleza ndipo aliponyamaza.
Lemutuz wanaJF tunakuweka kwenye maombi yetu.