BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,930
Maisha yakiwaanyoosha huwa jamii inatfta ya kuwachekesha na sio ya kuwasikitisha ndio mana siku stand up comedy ni nying na kila mtu anachekesha bongoLeo hii Zitto akiitisha press conference Na Konki Konki Oil chafu akiitisha yake , Basi ya Mamba Oil chafu itajaa Waandishi mpaka wa Tanzania Daima watakimbilia Kwa Master