Dudu Baya amemchanachana Lemutuz kwa sekunde 58,Lemutuz ajifungia ndani masaa 6 akilia kwa uchungu

Dudu Baya amemchanachana Lemutuz kwa sekunde 58,Lemutuz ajifungia ndani masaa 6 akilia kwa uchungu

Konki master anatumiwa ni bashite kuzika inshu ya makontaina. Wanajua sana watanzania wanapenda udaku nk
 
Mbona kama alikua ana mdiss baunsa moja hivi ambae alikua anamjibu dudu baya? Sasa hapa wew unasema lemutuz
 
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
bro una matatizo makubwa kamà ya bashite na dudu bahati mbaya mnajihisi mko sawa
 
Grammar inaruhusu kudrop noun ama pronoun na sentence ikaanza na verb, mf msemo maarufu wa Usher kwa the Wacko "Gone too soon" ni sawa na angesema: "You've gone too soon!"
usher kwa the Wacko?

Gone too soon aliimba yeye Michael zamani kabla hajafa...na alimuimbia dogo mmoja wa SA alikufa kwa ukimwi.....ilikuwa 1991 kama sikosei...usher alirudia tu.
 
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Ana namba yako mkuu kwani au mlikua mnapigiana cmu mwanzoni
 
Hiro ri konk hapa mjini rinafanya kazi gani? maana ririkuwa rinafokafoka off tune watati sanaa ya hip hop ndio inaingia bongo na wakati vipaji havijaongezeka na baada ya vijana kuja juu alijaribu jaribu rakini hakuna mtu ariyependa muziki wake sasa mjini rina kazi kani?
rina kazi ya kutatua marinda kama yko
 
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Ana number yako?
 
Back
Top Bottom