nowsasa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,095
- 1,126
Mjomba umeongea kama mwana falsafa.Ukiona mtu anachezea mavi usimsumbue anaweza kukurushia ili wote mnuke mavi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba umeongea kama mwana falsafa.Ukiona mtu anachezea mavi usimsumbue anaweza kukurushia ili wote mnuke mavi.
bro una matatizo makubwa kamà ya bashite na dudu bahati mbaya mnajihisi mko sawaHuyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
usher kwa the Wacko?Grammar inaruhusu kudrop noun ama pronoun na sentence ikaanza na verb, mf msemo maarufu wa Usher kwa the Wacko "Gone too soon" ni sawa na angesema: "You've gone too soon!"
Ana namba yako mkuu kwani au mlikua mnapigiana cmu mwanzoniHuyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
rina kazi ya kutatua marinda kama ykoHiro ri konk hapa mjini rinafanya kazi gani? maana ririkuwa rinafokafoka off tune watati sanaa ya hip hop ndio inaingia bongo na wakati vipaji havijaongezeka na baada ya vijana kuja juu alijaribu jaribu rakini hakuna mtu ariyependa muziki wake sasa mjini rina kazi kani?
mwenye video ya huyo baunsa atupie
Kunanini Mada Za Maudhui Ya Ngono Na Ushoga Zote Upo!Yani nmekuwa nikiona sura ya dudu baya nacheka mwnyw
Kunanini Mada Za Maudhui Ya Ngono Na Ushoga Zote Upo!
No daaaafa,kwenye meza yake marufuku kiben ten kufikaKAPAFONA aka MAPAFU YA MBWA.
Kuchamba kwingi mwisho unachokonoe mav!, leo nimekushusha vyeo. Ulitaka asemaje?“Never scared” jamani lugha ilikuja na meli hii
Umeuliza Swali Hujajibu Langu.Naww kunani unafuatilia mada zote zenye ngono na mashoga?
Ana number yako?Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Lugha ya maongezi inaruhusu kudondosha baadh ya viambata vya sentensi ikawa na maana na hadhi ile ile!I’m never scared
Hajakosea bana...rekebisha tuone kama malkia ni nduguyo“Never scared” jamani lugha ilikuja na meli hii
amesema ni oil chafu means hafaidudu baya ana tatizo kubwa asaidiwe.yeye anajihisi yuko sawa.