Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Le mutuzi lina miaka 57 sasa ni babu lakini ni lipambe la bashite na matajiri mbalimbali vijanaW. J. Malecela ulizidi sana kujikomba wa wafanyabiashara na watawala uchwara.Ni wakati sasa wa kusimama mwenyewe bila kujikomba komba umri unakutupa mkono.Mambo ya vijana achana nayo.
Wekeza katika viwanda vidogo vidogo piga promotion mwenyewe hata cha pure water au drip za wagonjwa
Yupo kwa Bashite si ni msukuma na serilkali ya chato ipo nyuma yake usiulize swali lingineHiro ri konk hapa mjini rinafanya kazi gani? maana ririkuwa rinafokafoka off tune watati sanaa ya hip hop ndio inaingia bongo na wakati vipaji havijaongezeka na baada ya vijana kuja juu alijaribu jaribu rakini hakuna mtu ariyependa muziki wake sasa mjini rina kazi kani?
“Never scared” jamani lugha ilikuja na meli hii
Sasa number yako aliipata wapi. Kutoka kwenye page mpaka kupigiana simu, hii story yako inawezekana umeruka sehemu au ndio umeamua kutuuzia chai.Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Mpka leo cjui alipata wap na kaiptaje.Sasa number yako aliipata wapi. Kutoka kwenye page mpaka kupigiana simu, hii story yako inawezekana umeruka sehemu au ndio umeamua kutuuzia chai.
Huyu cock labda anatumia Dudu, hapa mjini.Hiro ri konk hapa mjini rinafanya kazi gani? maana ririkuwa rinafokafoka off tune watati sanaa ya hip hop ndio inaingia bongo na wakati vipaji havijaongezeka na baada ya vijana kuja juu alijaribu jaribu rakini hakuna mtu ariyependa muziki wake sasa mjini rina kazi kani?
“Never scared” jamani lugha ilikuja na meli hii
Sio lazma umuelewe wewe,Tanzania ina watu Milioni 55.Kiukweli huwa simuelewagi Dudu kuanzia kwenye kuimba hadi hizi tuhuma zake kwa watu mbali mbali!
Tumekuwa na jamii ya ajabu sanaLeo hii Zitto akiitisha press conference Na Konki Konki Oil chafu akiitisha yake , Basi ya Mamba Oil chafu itajaa Waandishi mpaka wa Tanzania Daima watakimbilia Kwa Master
“Never scared”
Mkuu hata mimi nashangaa mleta mada kumuingiza Le mutuz!! hiyo clip Dudu baya hakumkusudia Le mutuz bali jamaa mwingine kabisa anayeitwa chris ambaye naye alirekodi clip kumchafua Dudubaya,mleta mada nadhani kakurupuka tu!Ila kwenye hiyo video konki master oil chafu anamchana bouncer mmoja anaitwa chris ambaye karedkodi video akisema kwamba ze dudu ni mchumba tena shoga na yuko tayari kwenda jela kama konki master akipimwa ******* an kukutwa nayo,alikuwa hamsemi le nanihiiiiii...usishangae hata tender ya kuchafua watu na oil chafu aliyopewa konki imetoka kwa LE NANIHIIIII
Yaani kila pilika pilika lzm ziwe zimekuja kuzima jambo,,na hua haliendelei tena si wasomi si wanaharakati si kina sisi hapa wote tunahamishwa km bendera ifatavyo upepo,Mungu tufumbue kizazi hiki [emoji30][emoji30]TRA yawataja wanufaika makontena ya makonda
Makonda amejua namna ya kucover up hili jambo. Hakuna Mtanganyika anayefwatilia habari za makontena tena!
camera na maskio ni habari za mashoga tu..!
Mungu tusaidie hiki kizazi..!
Mkuu Movie gani hii? Jamaa mbona wanacheka sana?Konki konki hahaaaaView attachment 920460
Grammar inaruhusu kudrop noun ama pronoun na sentence ikaanza na verb, mf msemo maarufu wa Usher kwa the Wacko "Gone too soon" ni sawa na angesema: "You've gone too soon!"I’m never scared