Dudu Baya amemchanachana Lemutuz kwa sekunde 58,Lemutuz ajifungia ndani masaa 6 akilia kwa uchungu

😁😁😁😁 uandishi wako nimeupenda.. Kamanda
 
Le mutuzi lina miaka 57 sasa ni babu lakini ni lipambe la bashite na matajiri mbalimbali vijana
 
Yupo kwa Bashite si ni msukuma na serilkali ya chato ipo nyuma yake usiulize swali lingine
 
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Sasa number yako aliipata wapi. Kutoka kwenye page mpaka kupigiana simu, hii story yako inawezekana umeruka sehemu au ndio umeamua kutuuzia chai.
 
Huyu cock labda anatumia Dudu, hapa mjini.
 
Ila kwenye hiyo video konki master oil chafu anamchana bouncer mmoja anaitwa chris ambaye karedkodi video akisema kwamba ze dudu ni mchumba tena shoga na yuko tayari kwenda jela kama konki master akipimwa marinda an kukutwa nayo,alikuwa hamsemi le nanihiiiiii...usishangae hata tender ya kuchafua watu na oil chafu aliyopewa konki imetoka kwa LE NANIHIIIII
 
Mkuu hata mimi nashangaa mleta mada kumuingiza Le mutuz!! hiyo clip Dudu baya hakumkusudia Le mutuz bali jamaa mwingine kabisa anayeitwa chris ambaye naye alirekodi clip kumchafua Dudubaya,mleta mada nadhani kakurupuka tu!
 
TRA yawataja wanufaika makontena ya makonda

Makonda amejua namna ya kucover up hili jambo. Hakuna Mtanganyika anayefwatilia habari za makontena tena!

camera na maskio ni habari za mashoga tu..!

Mungu tusaidie hiki kizazi..!
Yaani kila pilika pilika lzm ziwe zimekuja kuzima jambo,,na hua haliendelei tena si wasomi si wanaharakati si kina sisi hapa wote tunahamishwa km bendera ifatavyo upepo,Mungu tufumbue kizazi hiki [emoji30][emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…