Dudu Baya amemchanachana Lemutuz kwa sekunde 58,Lemutuz ajifungia ndani masaa 6 akilia kwa uchungu

Majirani wa Lemutuz wenye asili ya India mitaa ya Mnazi Mmoja wanadai baada ya jamaa kuona video hiyo alijifungia kwa masaa 6 ndani kwake akilia kwa nguvu kabla ya majirani hao kuamua kuvunja mlango na kumbembeleza ndipo aliponyamaza.
Hahahahahs
 
Nahisi dudubaya hayuko sawa.Lazima atakua na tatizo anahitaji msaada
 
Anayesemwa hapo kwenye hio video sio Le Baharia Mutuzz. Ni baunsa Crispin Kisinini ambaye alitupia post instagram kwamba Dudubaya nae ni choko!
Jamanii nina uhaba wa MB kwani msukuma kasemajr mpaka tupatupa kajifungia ndani?
 
Huyu lemutuz nilimchana live kwenye page yake pind ameshadadia ishu ya umber rutty. Nilimuambia kuwa hata yeye shoga. Nilshangaa ananipigia cm usiku saa 5 na kunichimba bit. Nkampandishia pia akakata cm.
Hahahha
Alipataje namba yako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aibu kubwa sana kama taifa kuacha kujadili issues za kitaifa na kujadili udaku
Unamaanisha ishu muhimu hazijadiliwi?
Weka mada muhimu watu wajadili
Mambo ya udaku yapo siku zote na maisha yanaendelea
 
Kazi yake ndio unayoiona mkuu kukagua wasio na marinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…