Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
Stress + Marijuana + Kufilisika = Uchizi...!!
nimecoment kwa ajili ya avatar yako tu
Yani huyu jamaa pamoja na kuishi kote mjini Bado anafikiria kimizimuzimu!!! Kajuaje analogwa ka yeye pia halogi! Tatzo bongo wasanii sio wabunifu wanasingizia ulozi hizo ni fikra mgandoNdivyo mganga wake alivyomwambia?...huyu kweli mwehu....
Dudubaya ni msukuma?
Ukiwa mbabe nani atakuja kwako, alafu huyu jamaa anavyopenda kupiga watu na kusifu ipo siku atakutana na mtu asieona haya akapigwa kinoma, yeye anavyowaponda watu anadhani ni mbabe kumbe kinachotokea kutokana na jina lake unakuta wakati mwingine mtu kumwangushia kisago sio freshnilisikiaga ye mwenyewe alikuwaga mganga wa kienyeji.
hivi si ana studio inaitwa TETEMESHA RECORD?ina maana hata mziki ukigoma studio pia hailipi?