Dudu Baya hana mke wala mtoto: Tafakuri ya maisha yake ya jumla, usanii, na mustabali wa kioo chake cha jamii

Kama humjui mtu usikurupuke,

Tumaini makazi yao hapa dar ni bahari beach (elewa maana 'kwao') tangu 1999 nilipomjua nikiwa janki

Ni mwenyeji sana Tegeta... nilimuona na kukutana nae hapo 1999 nikiwa darasa la 5 akiwa baunsa hata hajatoa ngoma...binamu yangu alikuwa rafiki yake saana!

Huko magomeni alifikia kwa mam.aako!

Msikurupuke kwa vitu msivyovijua
Anaitwa Godfrey tumaini...lakini Jina lake maarufu HAPO tegeta na viunga vyake ni TUMAINI.
Sawa tu, vyovyote iwavyo!
 
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.

Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.

Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana aliipenda pombe zaidi kuliko maendeleo. Ulevi ulipomzidi alifanyiwa vitendo vibaya sana na mabaunsa wa MISTA NICE mwaka 2006. Alipigwa muhuri wa moto.

Tangia hapo alianzisha bifu kali na mista nice, lakini kama mjuavyo, ikizama haifutiki. Ni kidonda cha milele.

Kutokana na jambo hilo, aligubikwa na hasira kali sana dhidi ya watu wote aliodhani ndio chanzo cha majuto yake (trauma) na kuzidisha ulinzi mkali sana wa mlango wake wa hormuzi.

Sifahamu nini kiliendelea, lakini tangu kipindi hicho hakuwahi kuonekana akiwa na mwanamke au mtoto. Kuna uwezekano mkubwa alivunjwa kwa namna isiyorekebishika. Hakuwa yule Dudu tuliyemjua wa kutoka Bariadi. Alionyesha majuto, kukata tamaa, huzuni, hasira, na hali ya kukosa utulivu wa kiakili.

Leo hii amebaki kuzurura kwenye madisko na mitandao ya kijamii akijinasibu kuwa mpiganaji wa vita vya usenge.

Mimi binafsi ninamuunga mkono kwa asilimia mia kwenye vita yake hii. Kitendo alichofanyiwa na mista nice mwaka 2006 ni kitendo kibaya sana kinachopaswa kukemewa vikali na sisi sote tunaopinga usenge.

Tuungane sote kumpigania huyu mwamba aliyevunjwa milango ya dharura.
BICHWA KOME UONGO HATA HAUSAIDII Mimi namjua dudu baya Kama mwana mwanza mwenzangu mwana kisesa hiyo bariadi niuongo wako umeutengeneza Kama na wewe ni miongoni mwao ungekausha kimtindo kuriko kujiabika dudu Ana watoto Tena wakubwa uongo hautakusaidia kuondoa huo UKWELI kwamba wewe ni CHAKULAAAA
 
Ana watoto wawili wa kike na kiume, tena m1 kazaa na wastara, anaesema alimlala kwenye train.
😂😂😂😂 yule ni kichaa kabisaa.
Nina wasiwasi na mtoa maada atakuwa ***** maana machoko wameshikwa pabaya sana 😂
 
BICHWA KOME UONGO HATA HAUSAIDII Mimi namjua dudu baya Kama mwana mwanza mwenzangu mwana kisesa hiyo bariadi niuongo wako umeutengeneza Kama na wewe ni miongoni mwao ungekausha kimtindo kuriko kujiabika dudu Ana watoto Tena wakubwa uongo hautakusaidia kuondoa huo UKWELI kwamba wewe ni CHAKULAAAA
Sawa tu, tuendelee kumpigania mwamba.
 
Huyu kaka yetu wa wochi bela baki amekuja kwa kasi sana mjini. Amevamia jiji kwa spidi bila mikakati madhubuti.

Alipotoka kule kwao Bariadi miaka hiyo, alipokelewa na GZRW mitaa ya magomeni na akafadhiliwa humo kula kulala buree bila malipo yoyote.

Sijui nini kilimpata, lakini inaonekana aliipenda pombe zaidi kuliko maendeleo. Ulevi ulipomzidi alifanyiwa vitendo vibaya sana na mabaunsa wa MISTA NICE mwaka 2006. Alipigwa muhuri wa moto.

Tangia hapo alianzisha bifu kali na mista nice, lakini kama mjuavyo, ikizama haifutiki. Ni kidonda cha milele.

Kutokana na jambo hilo, aligubikwa na hasira kali sana dhidi ya watu wote aliodhani ndio chanzo cha majuto yake (trauma) na kuzidisha ulinzi mkali sana wa mlango wake wa hormuzi.

Sifahamu nini kiliendelea, lakini tangu kipindi hicho hakuwahi kuonekana akiwa na mwanamke au mtoto. Kuna uwezekano mkubwa alivunjwa kwa namna isiyorekebishika. Hakuwa yule Dudu tuliyemjua wa kutoka Bariadi. Alionyesha majuto, kukata tamaa, huzuni, hasira, na hali ya kukosa utulivu wa kiakili.

Leo hii amebaki kuzurura kwenye madisko na mitandao ya kijamii akijinasibu kuwa mpiganaji wa vita vya usenge.

Mimi binafsi ninamuunga mkono kwa asilimia mia kwenye vita yake hii. Kitendo alichofanyiwa na mista nice mwaka 2006 ni kitendo kibaya sana kinachopaswa kukemewa vikali na sisi sote tunaopinga usenge.

Tuungane sote kumpigania huyu mwamba aliyevunjwa milango ya dharura.
Uongo..
Hakuna kitu kama hiko..

Story za kutunga..
 
Afu wala machoko hawajashikwa pabaya, ni vile tu huyo kichaa anatafuta ku trend upya au kuonea wivu watu wenye mafanikio kumzidi.
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂

Hivi ana miaka mingapi kwanza huyu wochi bela baki?

Anaonekana kachoka halafu kazeeka sana?

Ataweza kweli hii vita 😂😂😂😂
 
Afu wala machoko hawajashikwa pabaya, ni vile tu huyo kichaa anatafuta ku trend upya au kuonea wivu watu wenye mafanikio kumzidi.
😂😂😂
Kumbe nawe ni member wa haya mambo you better watch your back
 
Back
Top Bottom