Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Wewe sio wife material kabisa kwa hizo akili nani akuoe sasa we live our life menMaamuzi yao
Wewe sio wife material kabisa kwa hizo akili nani akuoe sasa we live our life menMaamuzi yao
Ukitaka kufahamu hata hio story unayozungumza ni ya kutunga na iliyojaa uongo...Wewe unashangilia wengine wanapotuhumiwa kuwa mashoga bila ushahidi wowote ule, lakini kibao kinapogeuka unang'ang'ania kutaka ushahidi.
Kaa kwa kutuliaa tushughulike na mwamba mpinga usenge.
Hao wife material watoto wao hawawezi kuwa mashoga? Nakupa poleeWewe sio wife material kabisa kwa hizo akili nani akuoe sasa we live our life men
Ana mke?Ukitaka kufahamu hata hio story unayozungumza ni ya kutunga na iliyojaa uongo...
Kwanza umesema hana mtoto... hali ya kuwa ana watoto wakubwa tu na wajukuuu anao...
Kwa hapo inaonyesha mnadanganyana...
Dudu Baya atachukiwa sana na mashoga..
hatma yako mwenyewe ukatafute dunia yako peke yako uishi, ukiishi kwenye jamii ilabidi ufuate principles jamii ilizoziweka, ila ushoga wenu unaharibu wanaowazunguka. Mbona mnafanya kwa kujificha sasa?Jamani hiyo Future generations ndio muiseme leo? Kwani watu wote ni mashoga? Atakayetaka awe, asiyetaka asiwe, hakuna kupangiana hapa.
Kila mtu atabeba hatma yake mwenyewe. Lol
Dudu baya hana mke.Wewe sio wife material kabisa kwa hizo akili nani akuoe sasa we live our life men
Wewe waache wenzako waishi vile wanataka, acha utemi.hatma yako mwenyewe ukatafute dunia yako peke yako uishi, ukiishi kwenye jamii ilabidi ufuate principles jamii ilizoziweka, ila ushoga wenu unaharibu wanaowazunguka. Mbona mnafanya kwa kujificha sasa?
kwa hiyo na wewe unapenda kufirwa?au watoto wako kuja kuwa mashoga?Wewe unashangilia wengine wanapotuhumiwa kuwa mashoga bila ushahidi wowote ule, lakini kibao kinapogeuka unang'ang'ania kutaka ushahidi.
Kaa kwa kutuliaa tushughulike na mwamba mpinga usenge.
Ingekua kwa kujificha nyie straight uchwara mnapovukwa nini? Principles za jamii haikatai ushoga, em onesha hapa, ili twende sawa, sitaki maneno ya vijiweni mie. Anayetaka kuharibika ataharibika, na asiyetaka hatoharibika.hatma yako mwenyewe ukatafute dunia yako peke yako uishi, ukiishi kwenye jamii ilabidi ufuate principles jamii ilizoziweka, ila ushoga wenu unaharibu wanaowazunguka. Mbona mnafanya kwa kujificha sasa?
Mbona matusi tena wakati umeuliza nikakujibu vizuri tu ? Ndio nilianzia Riverside. KaribuManyoko, nani achezee mavi fala wewe na hela akupe, jiheshimu shoga. Huko riverside ndo ulipoanzia kuuza matako?
Man WileWe jamaa huyo ana mtoto sema mroto wake sio mtu wa mitandao
Wewe unasapoti ushoga maana yake hata watoto wako utawasapoti wafanye haya mamboHao wife material watoto wao hawawezi kuwa mashoga? Nakupa polee
We hupendi kufirwa?kwa hiyo na wewe unapenda kufirwa?au watoto wako kuja kuwa mashoga?
Hana mke.Man Wile
Mke hana... jambo la kawaida tu.. ila alishakuwa nae akaachana nae..Ana mke?
Halafu ni kama amevurugwa hiviHana mke.
Sasa unamtetea kwa kipi?Mke hana... jambo la kawaida tu.. ila alishakuwa nae akaachana nae..
Watu maarufu wengi tu na hata matajiri hawana wake..
Kwani Ommy Dimpoz ana mke ? Kama hana mke ana mtoto?
😀😀😀😀😂😂😂Halafu ni kama amevurugwa hivi