Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Chid ndiyo kamchokoza mkuu sasa ulitegemea nini...Dudu kauwasha Moto
Akaona achomekee ushoga hii imeshakuwa kawaida yake
Kila msanii na wamiliki wa vyombo vya habari na wandishi kwake ni mashoga
 
Kipaji chake hicho hicho kidogo ndiyo kilifanya akwee pipa kwenda ulaya kupiga show mkuu...nikuulize wewe maskini mwenzangu ulishawahi kukwea pipa? Je wwe unakipaji gani kidogo....I am Konki konki konk Master
Kila mwanaume anamwita shoga ifike mahali wachukie bana wamfundishe nidhamu
 
Yeye ameshikilia kuwaita wanaume mashoga
Hayo ndo maisha yake anayoishi
Kila msanii kwake ni shoga
 
Mashoga ni wa kuuwawa mashetani nyinyi
Umeanza kuhemkwaa, ushatoka kwenye mstarii.
Sasa mbona hamuwaui?? Mnashindwa nn??.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona sasa hatuoni hizo adhabu au sheria kuchukuliwa, km ni kweli.
 
unatamani mwanao awe shoga?
 
Lakini Dudubaya naye ana skendo ya ushoga iliyoanza wakati alipompiga Mr Nice jukwaani. Habari zinasema alipata wivu aliposikia mwenzake anatembea na bwana wake muuza madini maarufu wa Arusha. Miaka ile ya 2003 hadi 2005 yule mfanyabiashara, dudu na nice walikuwa wanavuma sana kwenye kazi zao. Binafsi ninahisi Dudu anatukana wenzake kama mbinu ya kujilinda isionekane naye yumo. Kimsingi Dudubaya ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kuhusishwa na ushoga.
 
Shoga awe anaitwa shoga tu, haipaswi kumung'unya maneno. Kama inawauma kuitwa hivyo acheni ushoga.
Miaka michache nyuma alikuwa anatoa orodha ya mashoga hadharani, itakuwa vizuri akianza tena kuwa anatoa orodha regularly.
Mashoga wanatia kinyaa na ni laana.
 
Chichi Man hipokrite bomboklat.
 
unatetea sana haki zenu na bado umeulizwa umekataa wewe sio shoga why? are you not proud of it?πŸ˜…
Em njoo na I'd yako ya zamani mahii, hizi za mchongo sishughuliki nazo atiiii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…