Dudu Baya: Kinachofanya Tanzania itulie tofauti na jirani zetu ni kuwa sisi tumenyimwa elimu ya haki zetu. Wenzetu wanayo

Yuko sahihi kwa asilimia 100.

Ndicho CCM wanajivunia kwa kuwanyima elimu watanzania walio wengi ili waendelee kutawala
 
Kudai haki ni uhuni? Nafikiri unatakiwa kujitafakari zaidi kabla hujaongea neno lingine. Labda nikuelimishe kidogo.

Mtawala/Kiongozi anapovunja miiko ya kikatiba ni lazima awajibishwe na mfumo uliomuweka madarakani. Mfumo unaweza ukawa raia au mahakama kupitia katiba.

Kilichopo bongo ni kwamba watawala wamejifanya kuwa miungu kana kwamba wao hawakosei wala hawataki kukosolewa. Ila hali hio ni kinyume kwa raia ambao ni watawaliwa yani wao wakijitingisha tu kabla jua halijazama ni polisi na rumande chap wakisubiriwa mahakamani.
 
mifano ya dudu baya ndio hii
 
Hajapata connection ya chief Hangaya huyo. Mpeni muda
 
Mungu amlinde tusije sikia kaingiziwa dudu yuko hoi misitu ya katabi
 
Sio kufanya fujo linapohusika suala la kudai haki nguvu yoyote inaruhusiwa kutumika maadamu itasaidia haki ya mtu/watu kupatikana.
Mwalim Nyerere alipata kusema ukikimbia na haki yaku ukajifungia kwenye chumba fulani tarajia mambo mawili aidha nivumilie nje au uvumilivu unishinde nivunje mlango niichukue kwa nguvu.
 

Fujo maana yake ni nini?
Maandamano ya amani wewe kwa kiwango chako cha ufahamu unachukulia ni fujo ?
 
Yani bongo wako tayari kuandamana kisa yanga au Simba,ila sio kuandamana kudai haki yao.
Au wakisikia mondi konde kashuka port lazima wataenda kumpokea kwa maandamano πŸ˜„

Ova
 
Na sasa hivi mipira imekuwa kero zaidi wanawake na watoto wa shule unakuta mishipa imewasimama wanapishana SIMBA na YANGA
Iko haja ya kupata regime itakayobalansi vizuri haya mambo mijadala ya burudani Ina nguvu sana kuliko mijadala ya mustakabali wa taifa letu
 
Mahakama zipo pia kumbuka unaweza kuwa wewe hujawachagua ila kuna watu wamewachagua kwa hiyo wana mandate ya kuongoza. unashida mahakama zipo sio kuleta fujo barabarani kuna watu wako busy kutafuta pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…