The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #121
Taifa lao lina uchumi imara kuliko sisi usisahau serikali yao inawajibika kwa wananchi kuliko yetu usisahau wako far better kwenye kila kitu kuliko sisi no wonder ukiruhusu soko huria la ajira uwe na uhakika sie tutaambulia asilimia 15 tu.Wenye kujuwa kuhoji wamepata nini sisi hatuna, sana sana wamezika watu kwa ujinga tu mwisho wa siku serikali ni ile ile maisha ni yale yale ni wamepata. Ndio maana ziko chaguzi ni wakati wa kuchagua unayemtaka ukishindwa basi heshimu majority.
Taifa letu limezalisha watu waoga wasio washindani hivyo hata takwimu za watanzania walioko nje ya nchi tunazonufaikao nao ni wachache sana kuliko wenzetu.
Ukilitazama hili kwa jicho la leo huwezi ona athari zake but ukitazama kwa mapana tunaathirika!!