Dudu Baya; msanii aliyechagua kupigana vita vigumu kwa njia ya wazi

Dudu Baya; msanii aliyechagua kupigana vita vigumu kwa njia ya wazi

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,222
Reaction score
2,912
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani

Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa

Hata hivyo watu wenye mtazamo huo unaweza kuwahoji maswali yasiyopata majibu kirahisi

Kama anacho kifanya Dudu Baya wanasema ni kutafuta ku trend, je hakuna ushoga kwenye jamii yetu? Anachokisema ni cha uongo?

Hapa lazima jibu litakuwa ushoga upo hivyo anachopigana nacho kipo.

Huyu ni Dudu Baya, lakini watu wangepata nafasi ya kuwahoji walimu wa shule za msingi na Sekondari hizi za umma tu (kama case study haimaanishi shule binafsi ziko salama), pengine wangemuelewa Dudu Baya anachopigania

Watoto wengi wa shule za msingi na sekondari wakiume wanafanyiwa sana huo usodoma na ugomola tena na watu wazima.

Kwa bahati mbaya sana Walimu wengi wanafahamu lakini hawana la kufanya, wazazi wengi wanafahamu lakini hawana la kufanya, polisi wengi wanazo hizi kesi nyingi kwenye madawati yao lakini hawana la kufanya

Katika mazingira haya, akitokea mtu kama Dudu Baya wakukemea hadharani tena kwa lugha kali anatakiwa apongezwe na atiwe moyo badala ya kukatishwa tamaa. Mtu kama huyu ni hazina bila kujalisha kama anataka ku trend au vinginevyo

Si kwamba viongozi wa serikali hawafahamu hili tatizo la ushoga, wanalifahamu vizuri lakini wako kama wamepigwa shot ya umeme hawana la kufanya

Atokee mtafiti mmoja apite kimya kimya mashuleni kisha muone takwimu atakazo waletea. Mwingine apite madawati ya jinsia vituo vya polisi muone kesi zilizoripotiwa lakini hazina mwendelezo

Hawa watoto kesho watakuja kuwa viongozi hivyo tutakuwa na viongozi wengi mashoga ambao watahalalisha ushoga bila aibu. Hili liko mbioni sana kutokea

Wasanii wanafahamika kama kioo cha jamii, sasa endapo jamii itakumbatia wasanii mashoga na kuwapa majukwaa ya kujinadi watakuwa wana nandi nini kama sio ushoga?

Mila za jamii nyingi (kama sio zote) duniani zina pinga ushoga. Dini zote zinazoamini katika Mungu wa mbinguni zinapinga ushoga hadharani

Iweje mtu anayejitokeza kupinga ushoga apewe vitisho? Kosa la Dudu Baya ni lipi?

Je, kuwataja hadharani watu anaoamini ni mashoga ndio kosa? Kwani wanatakiwa kufichwa? Wakifichwa ushoga utaishaje?

Amekosekana mtu wa kukemea hadharani mwenye mamlaka, sasa amejitokeza Dudubaya muacheni akemee hili tatizo ni kubwa sana kuliko mnavyodhani

Hawa kina Dimponzi wanavaa sketi kufikisha ujumbe gani kwa jamii? Tunajua wanawake wana suruali za kike, je ni lini viwanda vimeanza kutengeneza sketi za kiume?

Dudu baya shikilia hapo hapo, wanaokuelewa tupo nyuma yako
 
Dudu baya shida ni uwasilishaji wake hana nidhamu hata kidogo

Ndio maana hata akiongea point ni kama bata kahara
 
Dudu baya shida ni uwasilishaji wake hana nidhamu hata kidogo

Ndio maana hata akiongea point ni kama bata kahara
Yubera watch your back
20260403_153500.jpg
 
Ushoga unafaa kupingwa kwa nguvu zote ila pia Mtu kama Dudubaya hapaswi kupongezwa kwa kuwa mjinga he act like a useless old man
 
Ushoga unafaa kupingwa kwa nguvu zote ila pia Mtu kama Dudubaya hapaswi kupongezwa kwa kuwa mjinga he act like a useless old man
Daah mkuu old man hapo umewakosea aisee huyo ni muhuni hakuna mtu anasapoti ushoga ila kutumia majukwaa kujifanya anatukana watu ule ni ujinga tu na ulevi.
 
Ukikuta mtu anatetea uchoko hasa hapa nchini fahamu tu kuna kati ya haya, kama ni mwanamke ujue tu alishatolewa marinda...

Ukikuta ni mwanaume kama hapigwi miti basi ujue anapiga wanaume wenzake nyuma, kama hapigi wenzake basi anaingilia wanawake kinyume na maumbile...

Aina hio ya watu nafsi zao huwasuta sana wanaposikia mtu kama Dudu Baya anapozungumza ukweli...

Hapo utasikia "yule ni mlevi" , "kachanganyikiwa" , na matusi ya aina zote...

Na kwenye hizi jamii zetu ukitaka kugombana hata na kiongozi wako wa dini zungumza kwa kulaani hayo masuala ya ushoga...
 
Dudu baya shida ni uwasilishaji wake hana nidhamu hata kidogo

Ndio maana hata akiongea point ni kama bata kahara
Utapigwa miti....

HIyo U & ta anavuuta kidogo kisha maneno yaliyobaki anatamka kwa haraka sana Sheikh
 
Lakini huyo Dimpoz ni kweli Mchele au?? na Akipelekwa Mahakamani atathibitishaje?.
 
Lakini huyo Dimpoz ni kweli Mchele au?? na Akipelekwa Mahakamani atathibitishaje?.
mahakamani atakayetakiwa kutoa ushahidi ni mamba,

yani wewe ukisema Samia mwizi, akaenda kushitaki umemuita mwizi, ni wewe ulianza kumuita mwizi unatakiwa kutoa ushahidi wa kauli zako
 
Ukikuta mtu anatetea uchoko hasa hapa nchini fahamu tu kuna kati ya haya, kama ni mwanamke ujue tu alishatolewa marinda...

Ukikuta ni mwanaume kama hapigwi miti basi ujue anapiga wanaume wenzake nyuma, kama hapigi wenzake basi anaingilia wanawake kinyume na maumbile...

Aina hio ya watu nafsi zao huwasuta sana wanaposikia mtu kama Dudu Baya anapozungumza ukweli...

Hapo utasikia "yule ni mlevi" , "kachanganyikiwa" , na matusi ya aina zote...

Na kwenye hizi jamii zetu ukitaka kugombana hata na kiongozi wako wa dini zungumza kwa kulaani hayo masuala ya ushoga...
Umemaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom