Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii wanafahamu namna Dudu Baya alivyoamua kupambana na ushoga na tabia za kishoga hadharani
Wapo wanaosema kwamba huenda ni namna alivyochagua kuendelea kujadiliwa kwenye media (ku trend) kwasababu uhai wa msanii hutegemea pia kusemwa semwa
Hata hivyo watu wenye mtazamo huo unaweza kuwahoji maswali yasiyopata majibu kirahisi
Kama anacho kifanya Dudu Baya wanasema ni kutafuta ku trend, je hakuna ushoga kwenye jamii yetu? Anachokisema ni cha uongo?
Hapa lazima jibu litakuwa ushoga upo hivyo anachopigana nacho kipo.
Huyu ni Dudu Baya, lakini watu wangepata nafasi ya kuwahoji walimu wa shule za msingi na Sekondari hizi za umma tu (kama case study haimaanishi shule binafsi ziko salama), pengine wangemuelewa Dudu Baya anachopigania
Watoto wengi wa shule za msingi na sekondari wakiume wanafanyiwa sana huo usodoma na ugomola tena na watu wazima.
Kwa bahati mbaya sana Walimu wengi wanafahamu lakini hawana la kufanya, wazazi wengi wanafahamu lakini hawana la kufanya, polisi wengi wanazo hizi kesi nyingi kwenye madawati yao lakini hawana la kufanya
Katika mazingira haya, akitokea mtu kama Dudu Baya wakukemea hadharani tena kwa lugha kali anatakiwa apongezwe na atiwe moyo badala ya kukatishwa tamaa. Mtu kama huyu ni hazina bila kujalisha kama anataka ku trend au vinginevyo
Si kwamba viongozi wa serikali hawafahamu hili tatizo la ushoga, wanalifahamu vizuri lakini wako kama wamepigwa shot ya umeme hawana la kufanya
Atokee mtafiti mmoja apite kimya kimya mashuleni kisha muone takwimu atakazo waletea. Mwingine apite madawati ya jinsia vituo vya polisi muone kesi zilizoripotiwa lakini hazina mwendelezo
Hawa watoto kesho watakuja kuwa viongozi hivyo tutakuwa na viongozi wengi mashoga ambao watahalalisha ushoga bila aibu. Hili liko mbioni sana kutokea
Wasanii wanafahamika kama kioo cha jamii, sasa endapo jamii itakumbatia wasanii mashoga na kuwapa majukwaa ya kujinadi watakuwa wana nandi nini kama sio ushoga?
Mila za jamii nyingi (kama sio zote) duniani zina pinga ushoga. Dini zote zinazoamini katika Mungu wa mbinguni zinapinga ushoga hadharani
Iweje mtu anayejitokeza kupinga ushoga apewe vitisho? Kosa la Dudu Baya ni lipi?
Je, kuwataja hadharani watu anaoamini ni mashoga ndio kosa? Kwani wanatakiwa kufichwa? Wakifichwa ushoga utaishaje?
Amekosekana mtu wa kukemea hadharani mwenye mamlaka, sasa amejitokeza Dudubaya muacheni akemee hili tatizo ni kubwa sana kuliko mnavyodhani
Hawa kina Dimponzi wanavaa sketi kufikisha ujumbe gani kwa jamii? Tunajua wanawake wana suruali za kike, je ni lini viwanda vimeanza kutengeneza sketi za kiume?
Dudu baya shikilia hapo hapo, wanaokuelewa tupo nyuma yako