Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Piwa ni gongoInasikitisha.
Piwa ni nini? Pombe ya aina gani hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piwa ni gongoInasikitisha.
Piwa ni nini? Pombe ya aina gani hii?
inaitwa poverty vicious cycle ni umasikini wa kizazi adi kizazi yani km babu zako walikuwa masikini wakafata uzao wa baba nao wako masikini na sasa ndo wew. ngum sana kuchomoka apoDudu anatoka familia masikini na mwanamke aliyemzalisha anatoka broke family
baada ya kumjaza sumu kamtelekeza na kutokomea kusikojulikana huku kijana akiangamia kwa depressionHuyo alipewa sumu na Single maza,akajenga uadui na Baba yake,so hayo ni matokeo ya single maza pia.
Ameacha hatumii tenaUna uhakika hatumii kabisa?
Kama amebadilika ni vizuri ni taarifa njema mkuu
Vipi kuhusu wewe,ulimpa msaada wowote au ulimpiga tu picha na kukimbilia JF?
Anyway mambo ya familia yana mambo mengi,huwezi kumlaumu tu Dudu bila kujua undani wa story yao na kilichopelekea huyo mtoto kua hivyo.
Teacher vp upo wapi nmlete mwanangu...!!?
Nakunukuu,
""Mtu akianza mibangi na pombe kumuokoa labda upeleke soba na hapo uombe sana""
View attachment 3180939View attachment 3180940View attachment 3180941
Watu wengi for years wanakunywa na hawafanyi mambo ya ajabu..
NB.
Tatizo sio pombe au ulevi tatizo ni mtu mwenyewe ndio tatizo ku misuse drugs/ alcohol
Umeninukuu vibaya.
Nilichomaanisha hawa watoto ukute kaanza bangi na hapo hapo anakunywa pombe . Sijasema pombe ni mbaya boss japo ni mbaya kweli😂
Madhara ya Kataa Ndoa haya. Lakini wanazaa nje
Hahaha yani ukiwa na kasoro, au changamoto za maisha huwezi kukosoa?Kama yasemwayo ya ukweli basi jamaa jinga kweli....kila siku yupo youtube kukosoa maisha ya watu wengine.
Sawaa Teacher....PM yngu ipo wazi hope na katuition cha nyumban utaweza kuja mfundisha 😇Mlete😂
Ngoja nikutumie jina la shule PM
Huwa naamini naye ni muumini kwa kuvutaHizo online TV huwa wanampa 30-50K kila akihojiwa ni njaa ndo imemfikisha hapo
Huyo Baba yake pia anahitaji msaada wa kisaikolojia.Mewahi mkuta Dudu Baya maeneo ya kawe hapoo, alizoea kaa baa ilovunjwa kabla ya mzunguko wa kuelekea kawe ama rainbow ukiwa unatokea mikocheni kwa nyerere.
Sikuamini macho yangu.
Baba anahitaji msaada na mtoto anahitaji kusaidiwa
Tuwape farajaa - ujana maji motoo
Mr Nice nae alimpiga nani? coz hata yeye alishapotea na life lake sio kama zamani,Huwa naamini naye ni muumini kwa kuvuta
Huyo Baba yake pia anahitaji msaada wa kisaikolojia.
Akiwa katika peak ya muziki pale Diamond Jubilee alimpiga ngumi Mr Nice jambo ambalo limemgharimu hadi leo.
Kutwa kutukana na kukosoa wenzie.
Mr Nice nae alimpiga nani? coz hata yeye alishapotea na life lake sio kama zamani,
Kipindi chake Mr Nice alikua ni kama Diamond alivyo sasa.
Mkuu,nimeuliza hivyo coz niliyemquote anasema kua Dudu yupo hivyo kisa alimpiga Mr Nice!Mr nice alikumbuka kujenga japo alijenga kibanda sio Nyumba
Na familia yake sio masikini Ina watu vizuri.
Kwa upande wa watoto pia wamefanikiwa kiasi chake
Sasa Dudu Baya anaishi katika Magofu ya Bahari Beach , hana familia imara hana Nyumba ,
Anaishi Kwa kutegemea online media zimfanyie interview ndo zimlipe.
So ndo hayo
Mkuu hapo nikukosoe kidogo ni kweli kabisa hakuna na hatakuwepo bingwa wa malezi ila kuna aina ya malezi yanatia kinyaa vibaya mno mno tena,Malezi yana mambo mengi sana. Hakunaga bingwa wa malezi. Sema Dudu naye ana kahistoria ka kutumika sana kwenye maugomvi ya watu. Ni mtu mwenye laana ndogondogo.
Sio tuition tu, nitakuwa nakuja hadi kufuatilia anaishije huko nyumbani, yaani nahakikisha ananyooka inavyotakiwa.Sawaa Teacher....PM yngu ipo wazi hope na katuition cha nyumban utaweza kuja mfundisha 😇
Ni Konyagi Mwitu Mkuu.Wanaita pombe kali jina lingine ni gongo. Inakuwa nyeupe kama konyagi ila ni ya kienyeji.