Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Dah, noma sana. Hiyo "piwa" naona inatokana na "pure".piwa ni gongo isiyo changanywa na maji
yaan gongo og
Hiyo inaunguza sana viungo mwilini. Ukipiga hiyo tena ukute kula hujala inaenda straight kuunguza viungo.