Dudubaya amjibu Mwakyembe, azidi kumshukia Ruge Mutahaba

Watu hawajui bali wanaongea tu, unajua ukiwa mkimya na haujibu utazushiwa kila kitu yaani mchanganyiko wa yale ya ukweli,ya uongo na ya ukweli yaliyo exaggerated. Kwa ukimya na kutokujibu wao wataamini tu eti mbona watu wanasema,so stupid.

Watu wanachanganya kwa sababu ya Muta vs Mutahabwa.

I had the same problem 10+ years back.
 
Ana masaa machache ya kuendelea kuropoka

Jr[emoji769]
 
Hawa ugomvi wao hawakusameheana kwani?
 
Hata kama marehemu alikuwa mwizi, kiafrika huwa tunamuazima sifa nzuri na kumsindikiza.

uongo mkubwa,

mwizi Afrika anachomwa moto mifupa inatupwa hapo hapo njiani


anashutumiwa kwa unyonyaji na ubaazazi, huwezi kusafisha rekodi hiyo....
 
Dudubaya utakaa central hadi Ruge azikwe, una mdomo mchafu.
Ukienda kesho saa tatu unawekwa ndani hadi j3 unapelekwa mahakamani, unanyimwa dhamana kwa usalama wako hadi Ruge azikwe.


Sent using Jamii Forums mobile app

Jela kakaa Mandela kwa kutetea haki za watu miaka 27, na ikawa poa tu

Unataka kumtisha mtu na jela za kulala weekend? Eti asiseme unyonyaji na ubaazazi ni mbaya kwenye jamii? Acha kuwa nyoronyoro wa kuogopa mahabusu
 
Kunadilika unamaanisha nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Dudubaya ni wa kumpotezea.Kumkamata ni kumpandisha chati na kuzidisha hasira kwa waombolezaji.Watuache tumlilie Ruge na sio kuhamisha majonzi yetu kwa mpumbavu Dudubaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufa tutakufa sote kaka, wachana na dudu kama dudu hebu jaribu kufikiri Kwa mapana fikra zake, hivi ulishawahi kusikia msanii yeyote wakati Wa fiesta akisema labda amesaini mkataba Kwa ajili ya show zaidi ya kuwashortilisted tu..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…