pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Huyo dada yako Saida mwenyewe kwa kinywa chake aliweka wazi kua Ruge sie aliyemuibia bali yule meneja wake wa zamani ndio alikua anachukua hati miliki za nyimbo zake,
Ngwear!? lol, kwa hiyo Ruge ndie alikua anamvutisha madawa au?
Haya wewe ungana na Dudubaya mfe mkazikwe ili muende kumsuta vizuri huyo marehemu, maana kupiga kelele huku ni kazi bure, Hawasikiiii.
Kumbe wengi mnalaumu hata bila kuwa na ushahidi na mnachanganya mambo. Ruge alimtapeli wapi Saida wakati aliyemtapeli ni Felician yule wa FM studios aliye msainisha mkataba kuwa nyimbo ni mali yake.
Mchizi yuko confident ingawa watu wanamuona cocky!Konki konki konki konki master , dudu ukikaa naye na kupiga naye Stori mi mtu mmoja mzuri , huwezi ukadhania ndio huyu
Huyo Pyscho alikua wapi kulalamika wakati marehemu yupo hai? leo amefariki ndio analalamika sasa nani atamsaidia wakati mlalamikiwa amefariki,Wewendo unapiga kelele kumtetea marehemu anayelalamikiwa na Dudu haya....Ruge alikuwa janga la wasanii hutaki sikulazimishi.
sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.Kwahiyo wakilia Rais na mawaziri ni lazima DuduBaya naye alie? Akili za wapi hizi??
Kwani ameanza ongea sahivi? Alishamchana toka yupo hai!Huyo Pyscho alikua wapi kulalamika wakati marehemu yupo hai? leo amefariki ndio analalamika sasa nani atamsaidia wakati mlalamikiwa amefariki,
hivi nyie watu mnatumia cocaine au heroin?
Angempeleka mahakamani sasa alikua anamchana kama waimba hip hop au taarabu?Kwani ameanza ongea sahivi? Alishamchana toka yupo hai!
We anavyofanya Magu vyote unavipenda?Angempeleka mahakamani sasa alikua anamchana kama waimba hip hop au taarabu?
Kumtukana mtu aliyekufa ni dalili ya kupungukiwa akili sababu kama alikua fisadi ndio kishaenda sasa apambane na mziki wake.We anavyofanya Magu vyote unavipenda?
Wanasema eti ni mila na desturi ya watanzania.Hivi huu mtindo wa kulazimisha tufanane hisia umeanza lini?Huu ni ujinga.
Ni dalili ya kupungukiwa akili kwa upande wako, ila hujui emotionally nini kinamsukuma kufanya hayo. He has the right to express his feelings bila kubughudhiwa kama ambavyo wanaomsifia hawabugudhiwi!Kumtukana mtu aliyekufa ni dalili ya kupungukiwa akili sababu kama alikua fisadi ndio kishaenda sasa apambane na mziki wake.
Wahuni tu hao.Hizo mila zimeandikwa WAPI tuziimbe?Mambo ya kumlazimisha mwingine ampende mtu fulani wakati hisia zake hazikubali ni zaidi ya upumbavu.Halafu naamini ni dhambi kujidai unaonesha upendo machoni wakati chuki na hasira vinawaka moyoni.
Ana express his feelings kwa mtu aliyefariki au kwa wapendwa wa marehemu? mtu wako wa karibu akifa halafu anatokea mtu/watu wanamkejeli na kumdhihaki utasema wana express their feelings au sababu huyo ni mtu asiyekuhusu?Ni dalili ya kupungukiwa akili kwa upande wako, ila hujui emotionally nini kinamsukuma kufanya hayo. He has the right to express his feelings bila kubughudhiwa kama ambavyo wanaomsifia hawabugudhiwi!
Alipouawa Osama kuna waliolia na kuna walioshangilia. Aliponyongwa Sadam kuna waliolia na kuna walioshangilia. Alipofariki mwalimu Nyerere kuna waliolia na kuna walioshangilia. Kifo chochote kinapotokea siyo wote wanasikitika na hakuna sheria inayolazimisha watu kusikitika au kutoonyesha mabaya ya aliyefariki.sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.
Ruge analiliwa na watu wengi akiwemo hata Rais wetu JPM, JK, mawaziri, wabunge, viongozi wakuu na watu maarufu achilia mbali vijana na wadau mbalimbali wa Clouds. Je, Katikati ya makundi hayo ya waombelezaji Dudu baya anapata wapi ujasiri wa kuyasema yale aliyoyasema kwa marehemu Ruge Mutahaba?
Je, Dudu baya alikuwa na uhusiano wowote na Ruge?
Je, Dudu baya ana hoja yenye mashiko?
Je, peke yake anaweza kukuwa na ujasiri wa kutengeneza clip kama ile na kuiachia hewani?
Je, yuko na akina nani nyuma yake?
Je, ana maslahi gani kwa kufanya vile?
Je, ni kweli mabaya ya Ruge yanazidi mazuri yake kustahili kulaumiwa na watanzania katika kipindi hiki?